Magu alikuwa akitekeleza sera za CDM ambazo Slaa aliziasisi kwenye Ilani.Ni akili ya kijinga sana kumuamini Dr Mihogo.
NI WAJINGA TU NDIYO WALIOSAHAU ALICHOTUFANYIA KIPINDI CHA MAGUFULI.
Kawasalitije yaani kawazui wasiendelee na agenda zao kwa-hiyo wao bila mbowe hawawezi kufanya agenda zaoMbowe amewasaliti hao jamaa Ila haishangazi ni kawaida yake ni kama 2015, lakini fresh tu
Hivi unajua credibilityMagu alikuwa akitekeleza sera za CDM ambazo Slaa aliziasisi kwenye Ilani.
SGR Magu alichukua CDM, Ununuzi wa ndege Magu alichukua CDM, Kupambana na Mafisadi alifanya KAZI nk nk.
Angeanzaje kupinga?
Slaa aombe nguvu tena chadema watu aliowasaliti nchi kuna mazuzu mengi sanaMbali na mkt,
BAVICHA IMEPWAYA SANA.
Mtu wa kaliba ya Heche angekuwa mkt BAVICHA, angetosha kuwasupport kina Slaa maandamano,
Imagine Slaa aombe nguvu Kwa mkt, vijana BAVICHA wamelala.!!
Kama ni kweli, changamoto ni pale wananchi wa vyama vingine na wasio na vyama watakapokuwa na mawazo ya kuunda TISS yao. Itakuwa ni halali kimantiki na kikatiba kufanya hivyo na ndipo vurugu huanzia.TISS ni tawi la ccm mbona wanafanya bila kificho
Jibu Swali.Hakuna mtu mwenye hati miliki ya agenda
Yaan swala la bandari useme tu ni agenda ya mwabukusi na slass huu ni ujinga wa hali ya juu
Kila mtanzania ana uhuru wa kuongealea mkataba wa bandari sio agenda ya watu kadhaa
Kwa fikra hizi tuna-safari ndefu sana
Huu ndiyo ukweli.Huyo mpuuzi anayeongea kwenye hiyo clip hapo chini ni nani?
Kwa kifupi ukifuatilia hoja zao, walipoanza hadi wanayoyaongea sasa, unaona kabisa kuna dili limesukwa na sasa limebuma wametaharuki.
Wote. Sahihisha sana nione nimepata alama ngapiJibu Swali.
ni nani aliyezima harakati na vuguvugu la Mkataba mbovu wa Bandari?
Kukurahisishia, fanya chaguo.
A.CCM na CHADEMA
B.Mamluki na Mawakala wa DPW
C.CHADEMA
D. wote hapo Juu.
Hilo ndilo kila mwenye akili anashangaa..!Kwani hii tabia ya kuchaguliana marafiki imeanza lini?Kama hao watu wapo vizuri wanataka kuungana (wapate back-up ya ubwete)na CHADEMA kwa nini?Waende hata kwa CUF au CHAUMA!
Zingatia mada na Muktadha wakeZipi hizo?
Tunajua Maridhiano ninayozungumzia ni baina ya CCM na baadhi ya uongozi wa CHADEMAKurudhiana na Sauti ya Watanzania, au? Fafanua....
Usichanganye mambo, unnecessarilySauti ya Watanzania wanatetea maslahi ya nani na yepi? Fafanua..
Kitaeleweka.Hujaeleweka. Legacy ya nani inapigwa na kuuwawa? Funguka, fafanua...
Sija yazungumzia hayo juu.Amefunikwaje? Ameenda Mwanza kuendeleza vuguvugu kwa njia ya maandamano. Ameshindwa hata kuandamana hatua mbili tu. Wewe unadhani CHADEMA wamemzuiaje yeye na wenzake kuendelea mbele?
Sikiliza bro. Harakati sio emotions na kufokafoka tu.
Sasa kwanini 255 haijaungwa mkono?Harakati ni mikakati na ushawishi Kwa wananchi ili upate uungwaji mkono..
Haya basi, CHADEMA mkaaandamane. au ndio mpaka wafanikiwe?Ukifanikiwa kuwashawishi na kuingiza ndani ya mioyo yao unayotaka wayaelewe, hata ukiwaambia wafanye jambo gani ikiwemo kuandamana watakuwa na wewe na watafanya..!
Wenzangu na mie tena?Hawa wenzako wameshindwa kwenye eneo hili. Hawana sababu yoyote kuwalaumu CHADEMA..!
Hapo tutakubaliana 100% Walakin, kelele zangu zilitaka Mkataba wa Bandari ufutwe, usitishwe na kutupiliwa mbali.Ni sisi Watanzania tuliopiga kelele kwa njia tofauti tofauti.
Yepi ni yepi? Yaani pamoja na emotions na kufokafoka amefanya kazi nzuri? Hakika amefanya, na ndio alipaswa kuungwa mkono na Watanzania wapenda haki na walinzi wa rasilimali zao, Uongozi wa CHADEMA included.Wakili Boniface Mwambukusi, bila shaka amefanya kazi nzuri pia.
Sawa, nimeelewa, CHADEMA, pia walifanya yao baada ya kuteka ya Mwabukusi aliyekuwa anafanya vizuri.Na wakati anaifanya, CHADEMA nao kama chama na mtu mmoja walikuwa wanafanya kwa upande wao. Umeelewa sasa
Well said.Mtu yeyote mwenye akili huangalia nguvu ya hoja na wala siyo aliyeitoa, kwa sababu hoja yenyewe yaweza kuboreshwa ikasonga mbele ikimwacha aliyeanzisha.
Fikra za kumjadili mtoa hoja badala ya hoja yenyewe ni za kupuuzwa tu.
Wameruka na Hedikopta na kupigiwa saluti na Askari polisi, wametembelea kaburi la Mkongwe wa Siasa, wametifuana wenyewe kwa wenyewe, wamebadilisha gia angani na Kuiita 255 okoa bandari, wanalia maridhiano yanalega.Sasa hao CHadema Paka sasa wamefanya nini??
Ndio huo wivu ulipo. Walikosa headlines wakati wao wakiwa na 255 hedikopta.Wanaongea Porojo tu.
Bora hata Wenzao walienda Mahakamani kupambana na tukapata Majibu yaliyotufungua.
A.[✓]Wote. Sahihisha sana nione nimepata alama ngapi
Tatizo mnalikuza watu kama wewe na hizi makala zako za hivi karibuni.Kwenye hili, hebu onesha makosa ya CHADEMA kisha tuyajadili kwa hoja na kama ni kweli tutakubalina tu bila shaka..
Jibu ni C.Jibu Swali.
ni nani aliyezima harakati na vuguvugu la Mkataba mbovu wa Bandari?
Kukurahisishia, fanya chaguo.
A.CCM na CHADEMA
B.Mamluki na Mawakala wa DPW
C.CHADEMA
D. wote hapo Juu.
CDM ndio inasaliti watz ktk HOJA ya Bandari Kwa kuipeleka kwenye mikutano ya hadhara Badala ya kuongoza maandamano yasiyo na kikomo wakiungana na watz, sauti ya watz,Hadi Bandari zetu na maliasili zetu ziheshimiwe na Watawala.Slaa aombe nguvu tena chadema watu aliowasaliti nchi kuna mazuzu mengi sana
Apambane na hali yake