Sasa hao CHadema Paka sasa wamefanya nini??
Wameruka na Hedikopta na kupigiwa saluti na Askari polisi, wametembelea kaburi la Mkongwe wa Siasa, wametifuana wenyewe kwa wenyewe, wamebadilisha gia angani na Kuiita 255 okoa bandari, wanalia maridhiano yanalega.
Wanaongea Porojo tu.
Bora hata Wenzao walienda Mahakamani kupambana na tukapata Majibu yaliyotufungua.
Ndio huo wivu ulipo. Walikosa headlines wakati wao wakiwa na 255 hedikopta.
Ngoja nibadilishe lugha
Wakati wakiendelea na kupigana na makaburi, wananchi walikuwa wanateseka na mfumuko wa bei, kukosekana kwa mafuta, petroli na dizeli, na kuchoshwa na kebehi za Serikali, vibaraka, mawakala na mamluki wa DPW kuhusu Ugawiaji wa Bandari kupitia Mkataba mbovu baina ya Serikali na DPW.
CHADEMA wakaja na Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi. Kudos.
Tatizo, walikuwa hawakujiandaa-nani atasema yapi, in short hawakuwa in lock step.
Ndipo tulipoona mfarakanyo. Yaani kukatokea mpasuko, kundi moja likigombana na Kaburi la Hayat Magufuli, na kundi lingine likisifia na kushindwa kukemea uozo Serikalini.
Wananchi wakawa wamechanganyikiwa, wanachama wa CHADEMA vilevile, na ukifuatilia hapa JF na kwingine kwenye taarifa, ulikuwa unasikia, " Mbona Chadema imekosa mvuto n.k n.k(server za JF zilijaa) na mirejesho hasi, negative feedback.
Kilichofuatia ni Kesi ya Mbeya. Mliwasikia CHADEMA
wakisema nini?
Porojo!
Naafiki