"Sauti ya Watanzania" ni strategy dhaifu sana ya kudhoofisha upinzani. Fuatana nami, unganisha matukio, wajue na kaa nao mbali....

"Sauti ya Watanzania" ni strategy dhaifu sana ya kudhoofisha upinzani. Fuatana nami, unganisha matukio, wajue na kaa nao mbali....

Ni akili ya kijinga sana kumuamini Dr Mihogo.

NI WAJINGA TU NDIYO WALIOSAHAU ALICHOTUFANYIA KIPINDI CHA MAGUFULI.
Magu alikuwa akitekeleza sera za CDM ambazo Slaa aliziasisi kwenye Ilani.

SGR Magu alichukua CDM, Ununuzi wa ndege Magu alichukua CDM, Kupambana na Mafisadi alifanya KAZI nk nk.


Angeanzaje kupinga?
 
Wafadhili wa Sauti ya Watanzania wengi ni CHADEMA Diaspora.

Lengo letu ni moja tusichonganishwe na mashushushu wa CCM.

No hate, no fear.
 
Magu alikuwa akitekeleza sera za CDM ambazo Slaa aliziasisi kwenye Ilani.

SGR Magu alichukua CDM, Ununuzi wa ndege Magu alichukua CDM, Kupambana na Mafisadi alifanya KAZI nk nk.


Angeanzaje kupinga?
Hivi unajua credibility
Mkuu kwenye siasa kama ukiwa malaya huna msimamo hakuna atakayekuamini haijalishi una point nzuri kiasi gani
 
Mbali na mkt,

BAVICHA IMEPWAYA SANA.

Mtu wa kaliba ya Heche angekuwa mkt BAVICHA, angetosha kuwasupport kina Slaa maandamano,

Imagine Slaa aombe nguvu Kwa mkt, vijana BAVICHA wamelala.!!
Slaa aombe nguvu tena chadema watu aliowasaliti nchi kuna mazuzu mengi sana
Apambane na hali yake
 
TISS ni tawi la ccm mbona wanafanya bila kificho
Kama ni kweli, changamoto ni pale wananchi wa vyama vingine na wasio na vyama watakapokuwa na mawazo ya kuunda TISS yao. Itakuwa ni halali kimantiki na kikatiba kufanya hivyo na ndipo vurugu huanzia.
Kimsingi TISS ni ya wananchi wote bila kujali vyama.
 
Mtu yeyote mwenye akili huangalia nguvu ya hoja na wala siyo aliyeitoa, kwa sababu hoja yenyewe yaweza kuboreshwa ikasonga mbele ikimwacha aliyeanzisha.
Fikra za kumjadili mtoa hoja badala ya hoja yenyewe ni za kupuuzwa tu.
 
Hakuna mtu mwenye hati miliki ya agenda
Yaan swala la bandari useme tu ni agenda ya mwabukusi na slass huu ni ujinga wa hali ya juu

Kila mtanzania ana uhuru wa kuongealea mkataba wa bandari sio agenda ya watu kadhaa
Kwa fikra hizi tuna-safari ndefu sana
Jibu Swali.





ni nani aliyezima harakati na vuguvugu la Mkataba mbovu wa Bandari?

Kukurahisishia, fanya chaguo.

A.CCM na CHADEMA

B.Mamluki na Mawakala wa DPW

C.CHADEMA

D. wote hapo Juu.
 
Huyo mpuuzi anayeongea kwenye hiyo clip hapo chini ni nani?
Kwa kifupi ukifuatilia hoja zao, walipoanza hadi wanayoyaongea sasa, unaona kabisa kuna dili limesukwa na sasa limebuma wametaharuki.
Huu ndiyo ukweli.

Wanawakomalia na kuwalalamikia CHADEMA kana kwamba huyo ni baba yao au kana kwamba wanatekeleza mipango ya CHADEMA.

Kwa kifupi hawaeleweki. Wamepanic. Wametaharuki kubuma kwa mpango wao.
 
Jibu Swali.





ni nani aliyezima harakati na vuguvugu la Mkataba mbovu wa Bandari?

Kukurahisishia, fanya chaguo.

A.CCM na CHADEMA

B.Mamluki na Mawakala wa DPW

C.CHADEMA

D. wote hapo Juu.
Wote. Sahihisha sana nione nimepata alama ngapi
 
Kwani hii tabia ya kuchaguliana marafiki imeanza lini?Kama hao watu wapo vizuri wanataka kuungana (wapate back-up ya ubwete)na CHADEMA kwa nini?Waende hata kwa CUF au CHAUMA!
Hilo ndilo kila mwenye akili anashangaa..!

Wamekomaa na CHADEMA tu.

Lakini hawakumbuki kuwa wapo pia CHAUMA, TLP, ACT, UDP, PPT Maendeleo au hata CCM wenyewe ambao wanaweza kuwapa jukwaa zuri tu kuendeshea harakati zao..

Lakini jamaa hawa target yao eti ni freeman Mbowe tu na CHADEMA. Why?
 
Zipi hizo?
Zingatia mada na Muktadha wake
Kurudhiana na Sauti ya Watanzania, au? Fafanua....
Tunajua Maridhiano ninayozungumzia ni baina ya CCM na baadhi ya uongozi wa CHADEMA
Sauti ya Watanzania wanatetea maslahi ya nani na yepi? Fafanua..
Usichanganye mambo, unnecessarily
SYWtz inatetea maslahi ya nani?

Hujaeleweka. Legacy ya nani inapigwa na kuuwawa? Funguka, fafanua...
Kitaeleweka.

Amefunikwaje? Ameenda Mwanza kuendeleza vuguvugu kwa njia ya maandamano. Ameshindwa hata kuandamana hatua mbili tu. Wewe unadhani CHADEMA wamemzuiaje yeye na wenzake kuendelea mbele?
Sija yazungumzia hayo juu.

Sikiliza bro. Harakati sio emotions na kufokafoka tu.
jamiiforums1267461471_387x387-jpg.2572374

Huyo hapo juu anafanya nini kama sio kufokafoka Jukwaani?
Harakati ni mikakati na ushawishi Kwa wananchi ili upate uungwaji mkono..
Sasa kwanini 255 haijaungwa mkono?
Ukifanikiwa kuwashawishi na kuingiza ndani ya mioyo yao unayotaka wayaelewe, hata ukiwaambia wafanye jambo gani ikiwemo kuandamana watakuwa na wewe na watafanya..!
Haya basi, CHADEMA mkaaandamane. au ndio mpaka wafanikiwe?
Hawa wenzako wameshindwa kwenye eneo hili. Hawana sababu yoyote kuwalaumu CHADEMA..!
Wenzangu na mie tena?
Ni sisi Watanzania tuliopiga kelele kwa njia tofauti tofauti.
Hapo tutakubaliana 100% Walakin, kelele zangu zilitaka Mkataba wa Bandari ufutwe, usitishwe na kutupiliwa mbali.
Wakili Boniface Mwambukusi, bila shaka amefanya kazi nzuri pia.
Yepi ni yepi? Yaani pamoja na emotions na kufokafoka amefanya kazi nzuri? Hakika amefanya, na ndio alipaswa kuungwa mkono na Watanzania wapenda haki na walinzi wa rasilimali zao, Uongozi wa CHADEMA included.
Na wakati anaifanya, CHADEMA nao kama chama na mtu mmoja walikuwa wanafanya kwa upande wao. Umeelewa sasa
Sawa, nimeelewa, CHADEMA, pia walifanya yao baada ya kuteka ya Mwabukusi aliyekuwa anafanya vizuri.

Waliiga mazuri ya Mwabukusi.
 
Mtu yeyote mwenye akili huangalia nguvu ya hoja na wala siyo aliyeitoa, kwa sababu hoja yenyewe yaweza kuboreshwa ikasonga mbele ikimwacha aliyeanzisha.
Fikra za kumjadili mtoa hoja badala ya hoja yenyewe ni za kupuuzwa tu.
Well said.
 
Sasa hao CHadema Paka sasa wamefanya nini??
Wameruka na Hedikopta na kupigiwa saluti na Askari polisi, wametembelea kaburi la Mkongwe wa Siasa, wametifuana wenyewe kwa wenyewe, wamebadilisha gia angani na Kuiita 255 okoa bandari, wanalia maridhiano yanalega.
Wanaongea Porojo tu.
Bora hata Wenzao walienda Mahakamani kupambana na tukapata Majibu yaliyotufungua.
Ndio huo wivu ulipo. Walikosa headlines wakati wao wakiwa na 255 hedikopta.

Ngoja nibadilishe lugha

Wakati wakiendelea na kupigana na makaburi, wananchi walikuwa wanateseka na mfumuko wa bei, kukosekana kwa mafuta, petroli na dizeli, na kuchoshwa na kebehi za Serikali, vibaraka, mawakala na mamluki wa DPW kuhusu Ugawiaji wa Bandari kupitia Mkataba mbovu baina ya Serikali na DPW.

CHADEMA wakaja na Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi. Kudos.

Tatizo, walikuwa hawakujiandaa-nani atasema yapi, in short hawakuwa in lock step.

Ndipo tulipoona mfarakanyo. Yaani kukatokea mpasuko, kundi moja likigombana na Kaburi la Hayat Magufuli, na kundi lingine likisifia na kushindwa kukemea uozo Serikalini.

Wananchi wakawa wamechanganyikiwa, wanachama wa CHADEMA vilevile, na ukifuatilia hapa JF na kwingine kwenye taarifa, ulikuwa unasikia, " Mbona Chadema imekosa mvuto n.k n.k(server za JF zilijaa) na mirejesho hasi, negative feedback.

Kilichofuatia ni Kesi ya Mbeya. Mliwasikia CHADEMA
wakisema nini?

Porojo!
Naafiki
 
Kwenye hili, hebu onesha makosa ya CHADEMA kisha tuyajadili kwa hoja na kama ni kweli tutakubalina tu bila shaka..
Tatizo mnalikuza watu kama wewe na hizi makala zako za hivi karibuni.

Mnafanya kana kwamba CHADEMA haiwezi kuwa na mambo inayoweza kukubaliana na hilo kundi ambalo tayari makala zako zimekwisha lihukumu kuwa ni vikaragosi vya CCM, bila ya ushahidi wowote.
Dr Slaa historia yake kishaiharibu mwenyewe kwa matukio mbalimbali, lakini hilo halizuii kuwa anaweza akawa na msimamo ambao unakubaliana na malengo ya CHADEMA.
Wewe kwa makala zako hizi, umejitokeza moja kwa moja kuhukumu.

Siyo lazima CHADEMA washirikiane na kundi hili, hakuna popote inapowalazimisha kufanya hivyo. Sasa wakiendelea na programu zao bila ya kupinga wanayofanya akina Slaa, kuna tatizo gani hapo?
 
Jibu Swali.





ni nani aliyezima harakati na vuguvugu la Mkataba mbovu wa Bandari?

Kukurahisishia, fanya chaguo.

A.CCM na CHADEMA

B.Mamluki na Mawakala wa DPW

C.CHADEMA

D. wote hapo Juu.
Jibu ni C.

CDM.
 
Slaa aombe nguvu tena chadema watu aliowasaliti nchi kuna mazuzu mengi sana
Apambane na hali yake
CDM ndio inasaliti watz ktk HOJA ya Bandari Kwa kuipeleka kwenye mikutano ya hadhara Badala ya kuongoza maandamano yasiyo na kikomo wakiungana na watz, sauti ya watz,Hadi Bandari zetu na maliasili zetu ziheshimiwe na Watawala.
 
Back
Top Bottom