Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Mmh wewe umeisikia wapi mbona sina habariš¤Nimevutiwa sana na sauti yako Mariposa.
Mmh wewe umeisikia wapi mbona sina habariš¤Nimevutiwa sana na sauti yako Mariposa.
Nimeisikia kwenye uzi huu huu, ni sweet, calm na inapenya mpaka moyoni.Mmh wewe umeisikia wapi mbona sina habariš¤
Hapana tupo wawili mm na WakuperuziUsikute Nyamwi255 ndiye mwanamke pekee hapa JF wengine wote madume nje ya keyboard...
Sema Una sauti tamu Sana....Hapana tupo wawili mm na Wakuperuzi