cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Wee Aunt, unataka nigandwee? Akuuuh.Weka sauti yako aunt bhana๐๐
Naogopaa. Lol ๐๐๐๐
Wee Aunt, unataka nigandwee? Akuuuh.Weka sauti yako aunt bhana๐๐
๐๐๐๐๐Wee 100 others acha domo weka sauti yako hapa..!! Usije kuwa una sauti km Noel halafu upo kutusumbua hapa.. ๐น๐น
Amenikera tu mkuu halafu anashirikia na mhalifu mmoja hivi wananishambulia.Mhmm huyu mdada mzuri sijui kwa nini mnamfikiria hivyo bwashee ๐ค
Maisha yanabadilisha watu๐๐๐๐๐ jamani aunt.
Njoo mrembo usikie sauti yangu...Wee 100 others acha domo weka sauti yako hapa..!! Usije kuwa una sauti km Noel halafu upo kutusumbua hapa.. ๐น๐น
Sikutanii ๐ ๐๐น๐น๐น umeanza sababu wakati najua una sauti nzuri..!!
Iko wapi hiyo sauti? ๐นNjoo mrembo usikie sauti yangu...
Weka sasa tutajua hapa wii ๐นSikutanii ๐ ๐
Iko wapi hiyo sauti? ๐น
Mxieeeeww ๐ฎ
Mxieeeeww ๐ฎ
Wewe najua kisauti chako chembamba ndiomana unaogopa ๐น
Sawa imeisha hiyooooo broUtaweka hapa nyingine weka pm kwa bro
Ewaa hizi ndio sauti tunataka kuzisikia sasa kutoka kwa wakaka
๐๐
Ndio wewe uliutabiri?Aisee huu uzi umetembea bwana!
Uzi wa sauti ulosema utaufungua uko wapi?๐๐
Una sauti nzuri mshkaji wangu!!
Igweeeeeeeeeeee
Ngoja nifungue warembo mjiachieUzi wa sauti ulosema utaufungua uko wapi?
Nimevutiwa sana na sauti yako Mariposa.Ndio wewe uliutabiri?
Na mimi natabiri watu watapata wachumba hapa hapa, endeleeni kuweka sauti zenu