Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Kuna jamaa nimemsikilizisha hapa kasema " kama hao wanakua wanalia vizuri muda wa ........"
Kuna jamaa nimemsikilizisha hapa kasema " kama hao wanakua wanalia vizuri muda wa ........"
Kwa ambao najuana nao ila labda ikatokea wakapewa namba zangu wakinipigia kwa mara ya kwanza hawaamini kama ni mm lakini wakishaconfirm ni mm inafatq bonge ya tusiMpaji Mungu njoo kwanza
Naomba nipigie nihakikisheKwa ambao najuana nao ila labda ikatokea wakapewa namba zangu wakinipigia kwa mara ya kwanza hawaamini kama ni mm lakini wakishaconfirm ni mm inafatq bonge ya tusi
Kwa ambao sijuani nao napoongea nao nao kwa mara ya kwanza hua wananijibu kwa kuigiza navoongea mimi mfano leo asubuhi nlimpa konda hela ili atafute chenchi mapema akanambia "shukran sana chaliangu, sasa mnama unashukia wapi?" Iweke hiyo statement kama watu wa Arusha wqnavoongea
Nipe digits hapo nikitoka kwenye game nianze kukuchombezaNaomba nipigie nihakikishe
Jamaa ashindwe mwenyewmin -me chukua Jimbo hili sawa nimemaliza 😊😊
Jioni tukutane kwenye vikao vyetu tupige vodka na konyagi na bia bila kusahau kitimoto.
Monetary doctor
secretarybird
Nyamwi una mtu?
nimekupm tayar yaani sitaaminiNipe digits hapo nikitoka kwenye game nianze kukuchombeza
Fungua pmnimekupm tayar yaani sitaamini
Once a pona a time nilikuwaga tungi tungi sina muda na madem mimi ni kula bata zote ila mademu no,,,,,asee hawa viumbe ukiwapa kisogo ndio wanakufungia kazi hahahahaaaa sishangai mtoto kautaka,Mimi wife ni pombe tu nilioa kitambo toka darasa la Saba ile siku ya mahafali😆
ivi imefungwa eeeh lakini mim nmekujaaaFungua pm
Nimekupata vizuri sanaaa 😁😁😁Kwa ambao najuana nao ila labda ikatokea wakapewa namba zangu wakinipigia kwa mara ya kwanza hawaamini kama ni mm lakini wakishaconfirm ni mm inafatq bonge ya tusi
Kwa ambao sijuani nao napoongea nao nao kwa mara ya kwanza hua wananijibu kwa kuigiza navoongea mimi mfano leo asubuhi nlimpa konda hela ili atafute chenchi mapema akanambia "shukran sana chaliangu, sasa mnama unashukia wapi?" Iweke hiyo statement kama watu wa Arusha wqnavoongea
Hahaha mtu ninae mkuu🤣🤣Nyamwi una mtu?
Naomba ata unyayo nilambe
Weka sauti yako aunt bhana😀😀Kwanza nichekee, 😂😂😂😂
Wee Fulani na mwenzio Fudengee mkuje mueleze wenyewe, mlichokua mnakisikia na mlichokuja kukiona.
😂😂😂😂😂
Tunaweka wapi my wii
Na wewe tuma yako tukusikieWalai....😃😃😃
Dada mkubwa yan nikiongea konda huyu hapa 😂😂😂
Sauti zingine zinafanana acha woga bestieMimi kwa sauti siwezi ileta humu....nitakamatika kirahisi sanàa
Yani ukute mr ana akaunti humu si aibu....😅😅😅😅😅🤗🤗🤗🤗