Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Walai....😃😃😃Mimi bubu
Walai....😃😃😃Mimi bubu
Naomba yako namba pmKwanza nichekee, 😂😂😂😂
Wee Fulani na mwenzio Fudengee mkuje mueleze wenyewe, mlichokua mnakisikia na mlichokuja kukiona.
😂😂😂😂😂
Falah we hebu pacome ndevu nazitoa wapi mimi 😹😹Nilitaka niseme kama wewe na lazima awe na vindevu kidogo vya pesa😆
Mama yangu ananiambiaga mwanamke akiwa na tu vindevu viwili lazima awe na pesa😆Ndio hvo vindevu huwa havizidi vitatu😂
Mm vindevu nnavyo hela ndo bado sijapata
Una sauti ya nzuri ya upole kumbe ni iran tuFalah we hebu pacome ndevu nazitoa wapi mimi 😹😹
Ni muongo mbona m sina🤣🤣Mama yangu ananiambiaga mwanamke akiwa na tu vindevu viwili lazima awe na pesa😆
Anapendwa afu anazinguaHahahhaha
From now simu yangu ikiita itasikika sauti hii ya kicheko 😋Dah.!! Mi bro shauri yako 😹😹
Sauti ya mtu ambaye swala dogo analikuza
Utazipata tuNi muongo mbona m sina🤣🤣
Mi huko mbona sipo wa kwetu? Mi wa kuletwa tuu huko...😄😄😄Sio yakina mashirima😅
Mkuu njaa imenifunga mdomo nikipiga nguna nitakukuta.
Bro unazingua😂😹😹😹 Mia mbovu sina
Ahahahaha😃😃😃Sauti ya mtu ambaye swala dogo analikuza
Wewe unaonaje kwani ?Mhhh wew ndo unasema usi skumizweeew
Ndugu yangu bro mwenzangu vipi? 😹😹Lamomy nakusabahi...
Ina bidi uchukue wadada wa kichaga wana sauti tamu mnoMi huko mbona sipo wa kwetu? Mi wa kuletwa tuu huko...😄😄😄
Huwenda🤣Sauti ya mrembo hii...