BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Kwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba halafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa gheto anayepambania maisha yake.
Kwani kuna waungwana walimlia mingle 😹😹😹Kwanza nichekee, 😂😂😂😂
Wee Fulani na mwenzio Fudengee mkuje mueleze wenyewe, mlichokua mnakisikia na mlichokuja kukiona.
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 hawataki kupitwa kabisaa. LolKwani kuna waungwana walimlia mingle 😹😹😹
Weka bhana 😹😹😂😂😂😂 uduguu.
Weeeeh!! Kina nani hao tena hebu watag waje hapa kijiwe kichangamke..!! 😹😹😂😂😂😂 hawataki kupitwa kabisaa. Lol
😹😹 Mashallah nyamwi una sauti ya kumtoa nyoka pangoni 😍😍
Mhhh unasauti nzurii
Iyo base pia tuna pendaga😹😹 Mashallah nyamwi una sauti ya kumtoa nyoka pangoni 😍😍
Mimi nna base km la Halima Mdee mtakimbia hapa..🤣
😹😹😹 Unapendaga na nani?Iyo base pia tuna pendaga
🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe nyie ni binadamu kabisa nikajua humu ni ma roboti tu😅
Na mbotoro kivoi😹😹😹 Unapendaga na nani?