Hakika JF ina watu
Siyo wote ni roboti mkuuu🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe nyie ni binadamu kabisa nikajua humu ni ma roboti tu😅
Hebu mjibu kwa sauti ya mbege nyamwi 😹😹🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe nyie ni binadamu kabisa nikajua humu ni ma roboti tu😅
Kama una D mbili huwezi kuekaaWanawekaje niwawekee sauti ya zombie hapa
Kamin bana 😁🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe nyie ni binadamu kabisa nikajua humu ni ma roboti tu😅
Tulia sasa hivi nakuwekea sema kuna mikelele nilipo..!! 😹😹
Litakuwa ni jitu fulani lina manywele mengi kichwani,halafu linene kiaina na suruali linavalia juu ya kiuno yani tumboniNasubiri sauti ya Lukas Msambwanda
Acha unafiki😂Mhhh unasauti nzurii
Au itakuwa apendagi kuzungumza sana...
Ulijuaje kuna kelele balaa 😹😹
Ooo bahati mbaya mimi hata sio mjanja wa kuongea 😅 labda univizie nikilewaHebu mjibu kwa sauti ya mbege nyamwi 😹😹
Kwaiyo nsisemee ukweliii.....Acha unafiki😂
Au una vina saba nae🤣😹😹 Mashallah nyamwi una sauti ya kumtoa nyoka pangoni 😍😍
Mimi nna base km la Halima Mdee mtakimbia hapa..🤣
Sijaona uzuri saut ka chiriku😁Kwaiyo nsisemee ukweliii.....
min -me chukua Jimbo hili sawa nimemaliza 😊😊