SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Je yakwako inakutafsiri kama nani maana yangu labda nikupigie unisikieKwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba alafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa geto anayepambania maisha yake.