Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,174
- 18,884
Najuaa 😂Ulijuaje kuna kelele balaa 😹😹
Najuaa 😂Ulijuaje kuna kelele balaa 😹😹
Sauti nzuri ila unarusha ngumi kama mike tyson 😂
Nataka unichukue wewemin -me chukua Jimbo hili sawa nimemaliza 😊😊
Jioni tukutane kwenye vikao vyetu tupige vodka na konyagi na bia bila kusahau kitimoto.
Monetary doctor
secretarybird
Wew uwezi ona uzuri wa iyo sautiSijaona uzuri saut ka chiriku😁
Binadamu hamna jema😁Sauti nzuri ila unarusha ngumi kama mike tyson 😂
Jimbo lipo occupied tulioga mapema Sana Sanaa. Labda uwe second one 😊😊Nataka unichukue wewe
Na utanichukua utake usitake
Cheupe dawa una kasauti kazuriKamin bana 😁
Sisi ni pipo
Mimi ni MANGI 🤓🤓Hivi nkimuomba Dr am 4 real PhD
1M kwa sauti hii atakataa kweli!?
Mimi wife ni pombe tu nilioa kitambo toka darasa la Saba ile siku ya mahafali😆Jimbo lipo occupied tulioga mapema Sana Sanaa. Labda uwe second one 😊😊
Binafsi hatuchepukiii Ila Kuna ndugu zangu Hawa ma maana kabisa wenzangu wanafaa Sanaa Sanaa.
Chagua hapo chinii..
min -me
Monetary doctor
secretarybird
Chukua mtoto huyo huoni sautii NZURII SanaMimi wife ni pombe tu nilioa kitambo toka darasa la Saba ile siku ya mahafali😆
Ukinisikia mie mkojani pureKwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba alafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa geto anayepambania maisha yake.
Umbea tu🤣😂😂😂😂
Inasikitisha sanaMimi ni MANGI 🤓🤓
SISI TUNAJUA KUTUNZA VIBUNDA 💰💰💰
HUWA NACHUKIAGA MWANAMKE AKIWEKA PESA MBELE YAANI NA ALLERGIES NAO SIJUI KWA NINI YAANI PESA NAKUA NAYO ILA UKINIOMBA KWA TAMAA HUWA NACHUKIAGA SANA.