Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Kwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba alafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa geto anayepambania maisha yake.
Mkuu acha sisi tusimame hapo kwa ""anayepambania maisha yake""
 
Back
Top Bottom