Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Mimi kwa sauti siwezi ileta humu....nitakamatika kirahisi sanàa
Yani ukute mr ana akaunti humu si aibu....😅😅😅😅😅🤗🤗🤗🤗
😆😆 pingu za maisha noma sana
 
hamadii mara Mr ni mzabazab🤣🤣
Weee mbona nyumbani hapatakalika...kila mtu amwambie mwenzie kwanini ana behave namna hii jukwaanii
Mimi mipira kubishana kila siku mpaka kutukanana..
Na yeye 24 hrs anaongelea vipochi manyoya...🤭🤭🤭🤗🤗🤗🤗😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom