Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
😹😹 Tumekubaliana humu wote mi mi bro..!!Uongooo wewe ni KE ☺️☺️
😹😹 Tumekubaliana humu wote mi mi bro..!!Uongooo wewe ni KE ☺️☺️
M silent killer 🤣Sauti imekaa kiupole ila kiundani una mafunzo ya martial art 😂😂😂
😂😂😂Nakubal nitakutafuta unifundishe kupiga Kabali mbaoM silent killer 🤣
Yah ni maagano ya pande mbili lazima yaheshimiwe....😆😆 pingu za maisha noma sana
Na sasa hivi tunahamasishwa sana wababa kuwasindikiza clinic kuhusu hili Shaka ondoa hata ikibidi ntakuwa nyuma yako kila wakati ila sitathubutu kuionja maana Kuna mwiko hukoWewe ntakupa mimba kila mwaka uwe unashinda clinic..!!😹😹
Hatimae utabiri wangu umetimia kwa 💯😄😄Endeleni kutuma voice
Ahahahah 😀😀 na mimi nazisubiria kwa hamu...Endeleni kutuma voice
Zinapelekwa wapi tena🥺Subir Sauti zenu zichukuliwe
Umesikia hapo alipotamka Evelyn SaltHatimae utabiri wangu umetimia kwa 💯😄😄
Sauti yako ni nzuri sana ila naomba tu Nyamwi255 akae mbali na wewe
Ukijichanganya umekwisha 🤣🤣🤣Umesikia hapo alipotamka Evelyn Salt
Nilikuwa nimekaa nimesimama😂🔥
😹😹😹 Mangi niacheSauti yako na mwandiko ni kama Palestine na Vatican City
Hahaha usikariri hujui sauti hua zinachujwa na kubadilishwa 😆Hatimae utabiri wangu umetimia kwa 💯😄😄
Sauti yako ni nzuri sana ila naomba tu Nyamwi255 akae mbali na wewe
Kufanyiwa kaziZinapelekwa wapi tena🥺
Sauti maridhaawa kabisq🤣Ukijichanganya umekwisha 🤣🤣🤣
Kwanini jamani ukasimama🤣Umesikia hapo alipotamka Evelyn Salt
Nilikuwa nimekaa nimesimama😂🔥
Ukiweka yako namwambia yule jamaa yako unayemtesa akuache mazima 😂😹😹 Mashallah nyamwi una sauti ya kumtoa nyoka pangoni 😍😍
Mimi nna base km la Halima Mdee mtakimbia hapa..🤣
Nilisikia kama vitu vinatembea mwilini🤣🔥Kwanini jamani ukasimama🤣