vanpoul
Member
- Jul 4, 2025
- 29
- 21
Ahahaha hahahahaha🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂yangu nikiwa nasound demu wanaichukulia mtu fulani hivi innocent na mwaminifu kumbe bongeeee la ng'auu hatari ole wake akichanganya ndo atajuta kujifananisha na sauti yanguKwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba alafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa geto anayepambania maisha yake.