Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Leo tutajua wenye fake ID
Inamaana hujakisikia kicheko cha aibu cha Lamomy? ile sauti unique ya Nyamwi je?Uzi ufungwe una sauti nzuriiiii
Nyamwi255 na Lamomy tumeni tena mkifuata muongozo wa sauti ya kama Dr. Mariposa
Msipotuma lolote liwakute
Na wewe utume.Uzi ufungwe una sauti nzuriiiii
Nyamwi255 na Lamomy tumeni tena mkifuata muongozo wa sauti ya kama Dr. Mariposa
Msipotuma lolote liwakute
😅
Nyoka pangoni lazima atoke au hatokiii ??Endeleni kutuma voice
Warembo watiririke sauti sio kitu ya kumbania mtu bwashee
I Still Repeat
Umejifunza nini kwenye hii Thread😎😏?
Ngoja tutokee ndukiiii 🏃🏃Mabraza huu uzi sio wetu 😂
Wapo wachacheKwamba JF ina jinsia ya kike watatu tuuu
Division four yupo wapiiii 🔥🔥🔥I Still Repeat
Umejifunza nini kwenye hii Thread😎😏?
😹😹😹 Mahi wangu hawezi niacha bhana..!!Ukiweka yako namwambia yule jamaa yako unayemtesa akuache mazima 😂
😅😅Division four yupo wapiiii 🔥🔥🔥
Ndo wakati wetu huu leo kuwa wasomaji 😂Wapo wachache
Kuna mijibaba inajifajifanya wanawake
😹😹😹 Mahi wangu hawezi niacha bhana..!!