Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Kabisa na wale waliokuwa wanajifanya wamevunga
Kabisa na wale waliokuwa wanajifanya wamevunga
Naunga mkono hoja
Nakuona Faza.Waendelee kuwa watulivu 😂
Wapiga punyeto leo ni kulala na earphones tu bro..... Earphones zangu sijui nmeweka wapi ngoja nizitafute kabla haijawa gizaBraza kama umesikia sauti ya Dr. Mariposa utaelewa huu mtanange mimi na wewe hautuhusu 😂😂
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe nyie ni binadamu kabisa nikajua humu ni ma roboti tu😅
Si ndio😆😂😂😂😂
Bwana bwana hata mimi nikajuaga humu zimejaa AI
Hivi kwani hakuna wanawake wenye ID za kiume humu?Wapo wachache
Kuna mijibaba inajifajifanya wanawake
Jf imethibitika wadada ni wawili tu , wengine ndani ya madera wana makaptula ya majinsi wameyakata😆Kabisa na wale waliokuwa wanajifanya wamevunga
😹😹😹 Nna base tatizo..!!😂😂
Ukikaa sehemu haina kelele tuma tena mie sijakusikia vizuri
Si umesema mwenyewe leo utajua wenye fake Ids? Ndo mafunzo yenyewe hayo sasaI Still Repeat
Umejifunza nini kwenye hii Thread😎😏?
We fala umenifanya nicheke kwa nguvu kwenye usafiri wa ummaJf wadada imethibitika wadada ni wawili tu , wengine ndani ya madera wana makaptula ya majinsi wameyakata😆
Ina mzuka hiyo balaa😹😹😹 Nna base tatizo..!!
Uzi umeonyesha humu kuna miamba watupu bwasheeWe fala umenifanya nicheke kwa nguvu kwenye usafiri wa umma
You have a very beautiful voice, I bet you must be very charming, amusing and attractive as well.
Chizi wewe🤣🤣🤣🤣🙌🏻Wapiga punyeto leo ni kulala na earphones tu bro..... Earphones zangu sijui nmeweka wapi ngoja nizitafute kabla haijawa giza
Kumbe kuna matapeli wengi Sana humu,😀😀ndio maana Wana ujasiri wa kuja pm kujibebisha unawaza huyu dem mbona ana ujasiri hivi kumbe ana mbupu na midevuUzi umeonyesha humu kuna miamba watupu bwashee
Kwamba mna sauti za radi....😃😃😀😀Kuna Hiroshima humu tunaogopa kulipua JF