Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
😹😹😹 Wewe yako iko wapi?Uzi ufungwe una sauti nzuriiiii
Nyamwi255 na Lamomy tumeni tena mkifuata muongozo wa sauti ya kama Dr. Mariposa
Msipotuma lolote liwakute
😹😹😹 Wewe yako iko wapi?Uzi ufungwe una sauti nzuriiiii
Nyamwi255 na Lamomy tumeni tena mkifuata muongozo wa sauti ya kama Dr. Mariposa
Msipotuma lolote liwakute
Anza na yako kwanza..!!Ina mzuka hiyo balaa
Joanah ni mubaba anaitwa rashidi😂😹😹😹 Wewe yako iko wapi?
Anaenukia vitunguu.....bro haupiki kabisa siku hizi, umeoa nini???Mtu fulani mpole sana innocent sana mstaarabu na mwenye busara
Naona umeamua kuanza na Manyanza
😹😹😹Joanah ni mubaba anaitwa rashidi😂
Chawa hajawahi kuwa na besiNasubiri sauti ya Lukas Msambwanda
😍😍 Dr sauti nzuri km sio wewe mtoa cheche..!! 🤣😹Endeleni kutuma voice
Bila hata kusikia sauti unaweza kumwelewa mtu jinsi alivyo. Maana Biblia inasema: “Yamjazayo mtu ndiyo yamtokayo” – yaani, tabia za kweli za mtu hazifichwi, huonekana kupitia kile anachosema na hata kuandika. Kwa comment chache tu, mtu anaweza kujionyesha kama ni mlevi, mzinzi, mwenye hasira, mwongo au mchochezi.Kwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba alafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa geto anayepambania maisha yake.
Ndio silaha yangu hiyo ya kuwaokota na kuwatoa cheche 🤣🤣😍😍 Dr sauti nzuri km sio wewe mtoa cheche..!! 🤣😹
Kumekuchaaaaa🙌🏻Bila hata kusikia sauti unaweza kumwelewa mtu jinsi alivyo. Maana Biblia inasema: “Yamjazayo mtu ndiyo yamtokayo” – yaani, tabia za kweli za mtu hazifichwi, huonekana kupitia kile anachosema na hata kuandika. Kwa comment chache tu, mtu anaweza kujionyesha kama ni mlevi, mzinzi, mwenye hasira, mwongo au mchochezi.
Ndugu zangu, maisha ni mafupi. Leo tunacheka cheka tu kwenye comments, kesho tunaweza kulala bila kuamka. Kama bado hujatubu dhambi zako na kumpokea Yesu, leo ndio siku ya wokovu. Acha mizaha ya ulimwengu huu, mgeukie Mungu kabla mlango wa rehema haujafungwa. Yesu anakuita sasa,
Ufu 3:20
"Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.
Mathayo 3:2
Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
Dr yani kila niki-imagine sauti na comment zako zile nakataa.!! 😹😹😹Njooooooooooo
Ukiona demu ana hizi swag....Njooooooooooo
M bad sana wewe..!! 😹😹Ndio silaha yangu hiyo ya kuwaokota na kuwatoa cheche 🤣🤣
Unanichekesha ujue🤣Dr yani kila niki-imagine sauti na comment zako zile nakataa.!! 😹😹😹
🤔🤔Hivi kwani hakuna wanawake wenye ID za kiume humu?
Haya lete hiki ulichoandika kwa voice tukuelewe maza Theresa 😹😹Bila hata kusikia sauti unaweza kumwelewa mtu jinsi alivyo. Maana Biblia inasema: “Yamjazayo mtu ndiyo yamtokayo” – yaani, tabia za kweli za mtu hazifichwi, huonekana kupitia kile anachosema na hata kuandika. Kwa comment chache tu, mtu anaweza kujionyesha kama ni mlevi, mzinzi, mwenye hasira, mwongo au mchochezi.
Ndugu zangu, maisha ni mafupi. Leo tunacheka cheka tu kwenye comments, kesho tunaweza kulala bila kuamka. Kama bado hujatubu dhambi zako na kumpokea Yesu, leo ndio siku ya wokovu. Acha mizaha ya ulimwengu huu, mgeukie Mungu kabla mlango wa rehema haujafungwa. Yesu anakuita sasa,
Ufu 3:20
"Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami."
Mathayo 3:2
"Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia."
Nilijua una swagger zile za kitom boy 😹😹Unanichekesha ujue🤣
Ulijua nina base flan hivi la kibabe
Nachukia hilo jina la 'demu'Ukiona demu ana hizi swag....
.. amm.. seriously...
😂😂😂😂
Wacha nsiseme