Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Una sauti nzuri Mash'Allah 😍 sema Tena hiyo liiijeiyNjooooooooooo
Una sauti nzuri Mash'Allah 😍 sema Tena hiyo liiijeiyNjooooooooooo
Weka bhana nataka nisikie sauti nyororo ya kumfanya nyoka atoke pangoni..!! 😹😹😹We nijazee tuu ingekua kule selfika mapemaà nishatupia japo mkono...au pua na mdomo...😃😃🤣🤣🤣
Uweeh, kama sio mnyapuaji vile 😍Njooooooooooo
Ukikaa sehem nzuri tupia voice ya hilo cheko tufurahi sie, maisha yenyewe mafupi😂Natamani kucheka kwa voice tatizo nilipo kunaninyima raha..!! 😹😹
Umekimbia uzi wa pombe ukafikiri ukilewa tutakuacha. Hahaa, tunakupenda, hatukuachi mpaka utubu na kuokokaDisko limeingia mmasai
we nae em tuma sauti,Sauti yangu haitakuwa na maana kama moyo wako umeufunga! Hata Yesu mwenyewe hajaanza na sauti. Ameanza kwa kubisha mlangoni. Anasema, "Kama mtu akiufungua mlango, nitaingia kwake." (Ufunuo 3:20). Acha mzaha, tubu uokoke kabla mlango wa rehema haujafungwa. Ya kesho huyajui. Huenda...
![]()
Usiku wa leo wanaitaka roho yako!
Usiku wa leo wanaitaka roho yako! Leo usiku roho yako itachukuliwa! Leo usiku maisha yako yatafikia mwisho, utaondoka duniani... Usishtuke wala usiogope; sio wewe! Maneno hayo aliambiwa mtu fulani tajiri. Shamba lake lilizaa sana. Akawaza moyoni mwake, ‘Nifanye nini? Sina mahali pa kuhifadhi...www.jamiiforums.com
Daaah! mbona mnanisingizia hivyo me stakiii 🤣Uweeh, kama sio mnyapuaji vile 😍
Vitisho tu unajitahidi 😹😹😹Sauti yangu haitakuwa na maana kama moyo wako umeufunga! Hata Yesu mwenyewe hajaanza na sauti. Ameanza kwa kubisha mlangoni. Anasema, "Kama mtu akiufungua mlango, nitaingia kwake." (Ufunuo 3:20). Acha mzaha, tubu uokoke kabla mlango wa rehema haujafungwa. Ya kesho huyajui. Huenda...
![]()
Usiku wa leo wanaitaka roho yako!
Usiku wa leo wanaitaka roho yako! Leo usiku roho yako itachukuliwa! Leo usiku maisha yako yatafikia mwisho, utaondoka duniani... Usishtuke wala usiogope; sio wewe! Maneno hayo aliambiwa mtu fulani tajiri. Shamba lake lilizaa sana. Akawaza moyoni mwake, ‘Nifanye nini? Sina mahali pa kuhifadhi...www.jamiiforums.com
Tuendelee kuwa wavumilivu natuma braza.... Mic ya simu ilikua inakoroma inataka kuniharibia tuBro nasubiri sauti hapa.. 😹😹
Kutubu ni nn?Umekimbia uzi wa pombe ukafikiri ukilewa tutakuacha. Hahaa, tunakupenda, hatukuachi mpaka utubu na kuokoka
Mbavu zangu 🤣 wewe njoo hutaki 3 nini sijui ileAloooo 🙄🙄🙄 mpe nauli mke/mme mwambie akatembee tembee kuna braza mgeni anakuja
Achana nae atatuharibia uziKutubu ni nn?
Nifundishe kwa kutumia voice mtumishiUmekimbia uzi wa pombe ukafikiri ukilewa tutakuacha. Hahaa, tunakupenda, hatukuachi mpaka utubu na kuokoka
Kabisaa yan...Si ndio😆
Daaah nmeshuka kwenye daladala napanda boda naona daladala haina mwendo hiiMbavu zangu 🤣 wewe njoo hutaki 3 nini sijui ile
😹😹😹 Na ninavyopenda kucheka sasa..!!Ukikaa sehem nzuri tupia voice ya hilo cheko tufurahi sie, maisha yenyewe mafupi😂
Naungana mkono hoja, tunahitaji sehemu yetu ya kujiachia inakua privacyWeka bhana nataka nisikie sauti nyororo ya kumfanya nyoka atoke pangoni..!! 😹😹😹
Tena Max atuwekee space tuwe tunajimwaga humu, kuna muda kuna watu wanatakiwa kujibiwa live..!! 🤣
😹😹😹 bro fanya mafekeche chap bhasi..!!Tuendelee kuwa wavumilivu natuma braza.... Mic ya simu ilikua inakoroma inataka kuniharibia tu
Nyie watu mtanivunja mbavu 🤣🤣🤣🙌🏻Naomba sauti yako nimtumie ex wangu ili aumie plz 😁
dosho12