Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Bila Shaka Sauti ya kidalali mnaijua
Aah mnanipanga kwa sauti gani niliyonayo bhana 😆Kweli ndugu yangu Dr. Mariposa ana sauti nzuri, Kijana Masikini anatubania kupata sauti ya marry D kampiga biti asitume sauti yake 😁😁
Naogopa kutuma sauti yangu, mashangazi ya JF yataniganda jinsi nilivyo cuttie.Aah mnanipanga kwa sauti gani niliyonayo bhana 😆
Mkuu nipo kwenye huba zito kiasi siwezi kumpimga la mama, ama kweli vitabu vitakatifu vilikuwa sahihi kuandika 'utampata wa kufanana nae'Kweli ndugu yangu Dr. Mariposa ana sauti nzuri, Kijana Masikini anatubania kupata sauti ya marry D kampiga biti asitume sauti yake 😁😁
Hahahaha hata sijui wanarekodia wapi 😂Tuma sauti yako tuwakomeshe mashangazi ya JF.
Dokta hebu nitag kwenye sauti uliyotuma nikajilimbwase 😋Aah mnanipanga kwa sauti gani niliyonayo bhana 😆
Kweli una sauti nzuri, na jinsi unavyoongea 😊Aah mnanipanga kwa sauti gani niliyonayo bhana 😆
Rekodi sauti kwa simu yako then itume kupitia attach filesHivi mnatumaje nitume
Mhm.m sijaonaNimetuma tena mbili huko juu,
Nasubiri yako pia😍
Watakuja wenyewee hapaa. 😂😂😂Weeeeh!! Kina nani hao tena hebu watag waje hapa kijiwe kichangamke..!! 😹😹
Aaaah wee!! 😂😂😂😂Weka bhana 😹😹
Asante Monetary doctor kwa swali zuriKutubu ni nn?
Akisikia kijana masikini inatosha 🤩Kipenzi tusikie sauti yako🥰
😂😂😂😂Au una vina saba nae🤣
Nyie ndo mkiongea mtu unageuka unajiuliza baba nani kumbe ni mama zena😂😂
Dalali weka sauti nasubiri 😹😹Bila Shaka Sauti ya kidalali mnaijua
Napika pilau la nazi leoo we subiri bossMkali tupia sauti , yale mapishi yako sio poa bwashee
😂😂😂😂Ukiweka sauti yako unitage
Uduguu weka, kwanza ulienda wapi?Aaaah wee!! 😂😂😂😂
PoleeeeeeeeeeeeeeeeMhm.m sijaona