Dah Kijana Masikini upo wapi ndugu yangu ๐Akisikia kijana masikini inatosha ๐คฉ
Nilienda kuswampaa mitaani.Uduguu weka, kwanza ulienda wapi?
Huku mambo leleleeee ๐น๐น๐น
Mwizi Mwizi hivi TapeliYangu ina sound kama mtu mpole na mkarimu, kumbe mwongo mmoja hv
Naongeaje?Kweli una sauti nzuri, na jinsi unavyoongea ๐
Huogopiiii? ๐๐๐๐Naomba yako namba pm
Uzi umebamba kinouma sauti traamu..!! ๐น๐นNilienda kuswampaa mitaani.
Naona uzii umelalukaa Co poaa. ๐๐๐๐๐
We jamaaNapika pilau la nazi leoo we subiri boss
๐๐๐๐๐ kwanini lakiniiii??wataigiza sauti watu humu ๐๐๐๐
Umeona ee ugomvi wa live unanoga๐๐Weka bhana nataka nisikie sauti nyororo ya kumfanya nyoka atoke pangoni..!! ๐น๐น๐น
Tena Max atuwekee space tuwe tunajimwaga humu, kuna muda kuna watu wanatakiwa kujibiwa live..!! ๐คฃ
๐๐๐๐ hamuogopiiii? WoiiiihUzi umebamba kinouma sauti traamu..!! ๐น๐น
Bado yako
Yeeeeees Ilove you Mama la mama Marry Diana.Dah Kijana Masikini upo wapi ndugu yangu ๐
Sauti tamu sana walahi
Ndio maana nikasema ufungue uzi Baby kama huyo anakuita kipenzi mimi roho inaniuma.Akisikia kijana masikini inatosha ๐คฉ
Naogopa kuna watu tumesoma nao chuo watanijua humu ๐คฃ๐คฃ๐คฃRekodi sauti kwa simu yako then itume kupitia attach files
Tuogope nini??๐น๐น๐๐๐๐ hamuogopiiii? Woiiiih
๐๐๐๐๐Bado ya cocastic na wewe ๐คฃ
Nakuelekeza mdogo ๐งKwahiyo wamekutuma, wewe ndo semaji lao? ๐น๐น