Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Naogopa kuna watu tumesoma nao chuo watanijua humu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Enzi zangu wakati nasoma diploma ya kuvuna asali nilikuwa mnoko mno, kila mtu alinijua jamani mimi ๐Ÿ˜ช

Mara paap, sauti imefika kwenye mafaili ya samia, ntaficha wapi sura yangu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tuogope nini??๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Watu million 70 utafute sauti yangu si kukosa kazi huko!! Kwanza atajichosha mi niko usukumani huku nakula michembe..!! ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ila kweli, watu wajimwaye mwaye na sauti zao Mjinii.
 
Sioni sehemu ya ku attach file eti ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Lamomy alishawahi kuweka voice humu anacheka ile mbaya na ananitaja sijui ipo kwenye Google drive na nina files zaidi ya 1 TB hata siwezi kuipata
Kwahiyo mnasave sauti zetu? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Hebu weka yako tusikie
 
Back
Top Bottom