Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Naandaa pilau la nazi kaa mkao wa kulaAnaenukia vitunguu.....bro haupiki kabisa siku hizi, umeoa nini???
Naandaa pilau la nazi kaa mkao wa kulaAnaenukia vitunguu.....bro haupiki kabisa siku hizi, umeoa nini???
Ndiyo kk mpunga wanguUna nidai? 😂
Subiri ccm ishinde kwanzaNdiyo kk mpunga wangu
Mbona handwriting ya kikurya hii 🤣🤣🤣Ripiti again 😂 nimetoka kapa
Sihitaji hayo mmSubiri ccm ishinde kwanza
Enhee, sema !
Ndo maana ake, 😂😂😂Haswaaah uduguu..!! 😹😹
Una yako wewe 🤣🙌🏻Taratibu, Romantic, ki ukweli sijasikia hata uliyoongea kwenye hyo soundclip nilikuwa nasikia sauti tu 😁😁
Harmful
Unaibadilisha kidogo, kuna mtu humu aliambiwa atume hata mihayo 😂 mimi nakwambia tuma hata chafya😍Naogopa kuna watu tumesoma nao chuo watanijua humu 🤣🤣🤣
Enzi zangu wakati nasoma diploma ya kuvuna asali nilikuwa mnoko mno, kila mtu alinijua jamani mimi 😪
Mara paap, sauti imefika kwenye mafaili ya samia, ntaficha wapi sura yangu 😃😃🤣
Tujiliwaze nayo 😹😹Kwa faida gaaaniii? 😬
Zaidi ya serious tunakusubiri 😶😂😂😂😂😂 jamaniiii.
Mko serious??!
Broh!! Wee lianzishee, afu mie nimaliziee.
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 umesanukaa brooh!!Aaah naijua hiyo bro hahahahh
😹😹😹 Wewe yako iko wapi?
Msinifanyiee hivyoo.Zaidi ya serious tunakusubiri 😶
Akinichagua atainjoi.Jimbo lipo occupied tulioga mapema Sana Sanaa. Labda uwe second one 😊😊
Binafsi hatuchepukiii Ila Kuna ndugu zangu Hawa ma maana kabisa wenzangu wanafaa Sanaa Sanaa.
Chagua hapo chinii..
min -me
Monetary doctor
secretarybird
Huyo mariposa anavotamka jina la mubaba Evelyn Salt na cocastic simuwezi eti "kkokkkastik"🤣
Napenda sana wanawake wenye sauti nyororo mkuu.
Niogope nini sasaHuogopiiii? 😂😂😂😂