Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Yh
Si umesema mwenyewe leo utajua wenye fake Ids? Ndo mafunzo yenyewe hayo sasa
Si umesema mwenyewe leo utajua wenye fake Ids? Ndo mafunzo yenyewe hayo sasa
Mimi sio tomboy mbona nilishasema 😂 my partner ni Stud (nyie ndio mnawaita tomboys)Nilijua una swagger zile za kitom boy 😹😹
😆😆😆 vodka na ikuache uendeHahaha kama mimi ni ke hi vodka ambayo nainywa now inikabe nife kwa jina la yesu.
Vijana wanaotegemewa kujenga nchiJf imethibitika wadada ni wawili tu , wengine ndani ya madera wana makaptula ya majinsi wameyakata😆
Natamani kucheka kwa voice tatizo nilipo kunaninyima raha..!! 😹😹Mimi sio tomboy mbona nilishasema 😂 my partner ni Stud (nyie ndio mnawaita tomboys)
Bro Kalpana naomba nikusikie kipenzi 😹😆😆😆 vodka na ikuache uende
Muda si muda stay tune broo...nataka nikiwashe humu watu wapoteane...😅😅😅Bro Kalpana naomba nikusikie kipenzi 😹
Nimekuelewa MchungajiBila hata kusikia sauti unaweza kumwelewa mtu jinsi alivyo. Maana Biblia inasema: “Yamjazayo mtu ndiyo yamtokayo” – yaani, tabia za kweli za mtu hazifichwi, huonekana kupitia kile anachosema na hata kuandika. Kwa comment chache tu, mtu anaweza kujionyesha kama ni mlevi, mzinzi, mwenye hasira, mwongo au mchochezi.
Ndugu zangu, maisha ni mafupi. Leo tunacheka cheka tu kwenye comments, kesho tunaweza kulala bila kuamka. Kama bado hujatubu dhambi zako na kumpokea Yesu, leo ndio siku ya wokovu. Acha mizaha ya ulimwengu huu, mgeukie Mungu kabla mlango wa rehema haujafungwa. Yesu anakuita sasa,
Ufu 3:20
"Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami."
Mathayo 3:2
"Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia."
Disko limeingia mmasaiBila hata kusikia sauti unaweza kumwelewa mtu jinsi alivyo. Maana Biblia inasema: “Yamjazayo mtu ndiyo yamtokayo” – yaani, tabia za kweli za mtu hazifichwi, huonekana kupitia kile anachosema na hata kuandika. Kwa comment chache tu, mtu anaweza kujionyesha kama ni mlevi, mzinzi, mwenye hasira, mwongo au mchochezi.
Ndugu zangu, maisha ni mafupi. Leo tunacheka cheka tu kwenye comments, kesho tunaweza kulala bila kuamka. Kama bado hujatubu dhambi zako na kumpokea Yesu, leo ndio siku ya wokovu. Acha mizaha ya ulimwengu huu, mgeukie Mungu kabla mlango wa rehema haujafungwa. Yesu anakuita sasa,
Ufu 3:20
"Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami."
Mathayo 3:2
"Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia."
Anatoka soon 😂
Kiwashe kiwashe 😹😹Muda si muda stay tune broo...nataka nikiwashe humu watu wapoteane...😅😅😅
Aloooo 🙄🙄🙄 mpe nauli mke/mme mwambie akatembee tembee kuna braza mgeni anakujaNjooooooooooo
We nijazee tuu ingekua kule selfika mapemaà nishatupia japo mkono...au pua na mdomo...😃😃🤣🤣🤣Kiwashe kiwashe 😹😹
Bro nasubiri sauti hapa.. 😹😹Aloooo 🙄🙄🙄 mpe nauli mke/mme mwambie akatembee tembee kuna braza mgeni anakuja
Mimi bubu jamani😣
Sauti yangu haitakuwa na maana kama moyo wako umeufunga! Hata Yesu mwenyewe hajaanza na sauti. Ameanza kwa kubisha mlangoni. Anasema, "Kama mtu akiufungua mlango, nitaingia kwake." (Ufunuo 3:20). Acha mzaha, tubu uokoke kabla mlango wa rehema haujafungwa. Ya kesho huyajui. Huenda...Haya lete hiki ulichoandika kwa voice tukuelewe maza Theresa 😹😹
Unaonekana ni mtamu hatari