Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Alafu mi mwembamba kinoma ni sauti tu Tuma na wewe nikusikie nione kama urembo na urefu wako vinaendana na sauti 😆😅

#Utopolo for life
Haviendani bana....usinilazimishe nitasusa na uzi wenyewe...nimekwambia njoo inbox...😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣
Si unaona sauti yako nimekwambia ww mnene kumbe mwembamba...
 
Haya nakuja usisuse sasa mtu mrefu ☺️☺️
 
Back
Top Bottom