Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

[emoji1787] Ila mdogo wangu hizo sifa mbona sifananii nazo wanaonijua wanacheka pembeni uko
Weeh umdanganye nani wakati nimekuona mwenyewe ulivyo..!! 😹😹

We ni lizuri mpk bhasi.. yani ulifinyangwa kipindi sir God katulia weekend..😍😍
 
Woyoooooooooo 😍😍😍
Hili voice sio poa cazee mpk umeniturn on 😹😹😹

Mayatima wa mapenzi mje cazee wangu yuko single..!!
Single wapi cazee we si una kibwana chako unakitesaga kinoma sema bado anakuganda tu na mnapeana ma utamu kwa raha zenu wenyewe

Nyie wanawake hamna uwezo wa kuwa single mnaana mnagombaniwa na kutongozwa daily 😸😸😸
 
😹😹😹😹 kibwana changu was necessary?
 
Back
Top Bottom