Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Kwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba alafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa geto anayepambania maisha yake.
Sauti yangu inareflect sana kama mtu mwenye mamlaka, always naambiwaga sana watu.
For sure sitakagi masihara kwenye mambo seriously...
 
Back
Top Bottom