Sauti yenye mamlaka walifikiri nchi haina kiongozi!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Niseme ukweli tu Rais wangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jemedari mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama tangu aingie madarakani ile hotuba ya jana ndio hotuba bora zaidi kupata kuitoa ikizidi ile ya siku ya kuapishwa kwake.

Amenifurahisha kwa kuudhirishia umma kuwa nchi ina raisi mmoja tu naye ni kutoka chama tawala na amiri jeshi mkuu ni mmoja tu Mama samia Suluhu Hassani.

Sasa kama wengi wao waliokuwa wana mjaribu kwa kujua mama akishindwa na watoto wake viburi hubaki kwa kusema subirini baba yenu arudi nitawasemea.

Jueni yeye hana huo udhaifu na anajia kila kitu nasema hivi hata yale matembezi ya mshikamano mliyoachiwa muda wowote jemedari anaweza yafuta ,
tena tabia zao za kuita press kila baada ya hotuba ya amiri jeshi mkuu ikomeshwe mara moja.

Walijua ni mwanamke wa mchezo mchezo tu JPM hakukosea kumchagua,

Hongera mama kwa hotuba bora kabisa ya kufungia mwaka na ya kufungilia uchaguzi wa serikali z mitaa.
Hata Hayati Magufuli amefurahi kwa kusikia nchi ipo kwenye mikono salama.

N.B: Wale mabaria wa kanada na ubeligiji kama hamna shughuli hapa nyumbani haya fungasheni mwende nchi inayo kiongozi hamtowachwa kama mpo juu ya sheria!

Pia soma:Rais Samia: Kama Wapinzani wameota Mikia Sheria zile zile bado zipo
 
Hakuna sauti ya mwanamke yenye mamlaka hapa chini ya jua. Ile ya jana haikuwa sauti yenye mamlaka bali ilikuwa sauti yenye vichambo na yenye kusuta tu kwetu.

Sisi wajuba tulisikia ni sauti ya muimba taarabu mmoja hivi.
Kuwa muitikiaji!
 
Niseme ukweli tu Raisi wangu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jemedari mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama Tangu aingie madarakani ile hotuba ya jana ndio hotuba bora zaidi kupata kuitoa ikizidi ile ya siku ya kuapishwa kwake,
Amenifurahisha kwa kuudhirishia umma kuwa nchi ina raisi mmoja tu naye ni kutoka chama tawala na amiri jeshi mkuu ni mmoja tu Mama samia Suluhu Hassani.
Sasa kama wengi wao waliokuwa wana mjaribu kwa kujua mama akishindwa na watoto wake viburi hubaki kwa kusema subirini baba yenu arudi nitawasemea.

Jueni yeye hana huo udhaifu na anajia kila kitu nasema hivi hata yale matembezi ya mshikamano mliyoachiwa muda wowote jemedari anaweza yafuta ,
tena tabia zao za kuita press kila baada ya hotuba ya amiri jeshi mkuu ikomeshwe mara moja.

Walijua ni mwanamke wa mchezo mchezo tu JPM hakukosea kumchagua,

Hongera mama kwa hotuba bora kabisa ya kufungia mwaka na ya kufungilia uchaguzi wa serikali z mitaa.
Hata Hayati Magufuli amefurahi kwa kusikia nchi ipo kwenye mikono salama.
N.B:Wale mabaria wa kanada na ubeligiji kama hamna shughuli hapa nyumbani haya fungasheni mwende nchi inayo kiongozi hamtowachwa kama mpo juu ya sheria!
Hakuna aliyedhani nchi haina kiongozi zaidi ya yeye kujiita chura kiziwi.

Wananchi wengi walitaka kuona uongozi kwenye masuala haya ya utekaji, na mauwaji ya kisiasa.

Yeye anafananisha mauwaji ya kisiasa na yale ya vikongwe wanaohisiwa uchawi.

Hapo ame “downplay” mauwaji na utekaji unaondelea.

Hivyo hotuba hiyo inaonyesha yuko nyuma ya huu uharamia unaoendelea na huku akijificha nyuma ya kichaka cha “4R”
 
Tarehe 23 tutajua boss.

Kwani wewe ni huyo mwamba darasani hapo?

GXsPaGvXUAU4Kb4.jpeg
 
Hakuna aliyedhani nchi haina kiongozi zaidi ya yeye kujiita chura kiziwi.

Wananchi wengi walitaka kuona uongozi kwenye masuala haya ya utekaji, na mauwaji ya kisiasa.

Yeye anafananisha mauwaji ya kisiasa na yale ya vikongwe wanaohisiwa uchawi.

Hapo ame “downplay” mauwaji na utekaji unaondelea.

Hivyo hotuba hiyo inaonyesha yuko nyuma ya huu uharamia unaoendelea na huku akijificha nyuma ya kichaka cha “4R”
Nimeshangaa sn
Ufananishe mauaji ya kibao na ya wengine 🙌🤷
 
Hakuna aliyedhani nchi haina kiongozi zaidi ya yeye kujiita chura kiziwi.

Wananchi wengi walitaka kuona uongozi kwenye masuala haya ya utekaji, na mauwaji ya kisiasa.

Yeye anafananisha mauwaji ya kisiasa na yale ya vikongwe wanaohisiwa uchawi.

Hapo ame “downplay” mauwaji na utekaji unaondelea.

Hivyo hotuba hiyo inaonyesha yuko nyuma ya huu uharamia unaoendelea na huku akijificha nyuma ya kichaka cha “4R”
Waliachwa huru kidogo mlipewa nafasi ya kuongea raisi anatoa maelekezo badala ya kusubiri yafanyiwe kazi watu wapo busy kumpangia raisi cha kufanya wengine ni mapolisi mahakimu na waendesha mashitaka wakiitwa kuisadia polisi wanakimbilia X(twitta)
 
Niseme ukweli tu Rais wangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jemedari mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama tangu aingie madarakani ile hotuba ya jana ndio hotuba bora zaidi kupata kuitoa ikizidi ile ya siku ya kuapishwa kwake.

Amenifurahisha kwa kuudhirishia umma kuwa nchi ina raisi mmoja tu naye ni kutoka chama tawala na amiri jeshi mkuu ni mmoja tu Mama samia Suluhu Hassani.

Sasa kama wengi wao waliokuwa wana mjaribu kwa kujua mama akishindwa na watoto wake viburi hubaki kwa kusema subirini baba yenu arudi nitawasemea.

Jueni yeye hana huo udhaifu na anajia kila kitu nasema hivi hata yale matembezi ya mshikamano mliyoachiwa muda wowote jemedari anaweza yafuta ,
tena tabia zao za kuita press kila baada ya hotuba ya amiri jeshi mkuu ikomeshwe mara moja.

Walijua ni mwanamke wa mchezo mchezo tu JPM hakukosea kumchagua,

Hongera mama kwa hotuba bora kabisa ya kufungia mwaka na ya kufungilia uchaguzi wa serikali z mitaa.
Hata Hayati Magufuli amefurahi kwa kusikia nchi ipo kwenye mikono salama.

N.B: Wale mabaria wa kanada na ubeligiji kama hamna shughuli hapa nyumbani haya fungasheni mwende nchi inayo kiongozi hamtowachwa kama mpo juu ya sheria!
Nilichosikia jana ni Conspiracy Theories, na Mipasho; Nimesikia, nimeona, etc etc etc Na kile kijeshi ati left right left right cha kuwashughulikia Chadema duuu. Hivi watu millioni 30 waingie mtaani na hicho kijeshi na hizo left right kitafanya nini! Anger, hunger vikifika kilele hivyo vi Left and Right huwa navyo vinakimbia. Kwa kuwa maana ya ya kuishi huwa tena haipo. Fugeni tu hizo chuki (anger) na njaa (hunger).
 
Hakuna sauti ya mwanamke yenye mamlaka hapa chini ya jua. Ile ya jana haikuwa sauti yenye mamlaka bali ilikuwa sauti yenye vichambo na yenye kusuta tu kwetu.

Sisi wajuba tulisikia ni sauti ya muimba taarabu mmoja hivi.
Watanzania mnachokitafuta ivi punde mtakipata.
 
Hiyo hotuba ni ya mtu aliyevimbiwa madaraka.lakini ajue kuwa hata kabla ya mapinduzi kule misiri,Tunisia,Niger na Algeria viongozi walikuwa wanatoa hotuba za vitisha lakini wananchi walipoamua kuwaita adabu walikipata Cha moto.
 
Nilichosikia jana ni Conspiracy Theories, na Mipasho; Nimesikia, nimeona, etc etc etc Na kile kijeshi ati left right left right cha kuwashughulikia Chadema duuu. Hivi watu millioni 30 waingie mtaani na hicho kijeshi na hizo left right kitafanya nini! Anger, hunger vikifika kilele hivyo vi Left and Right huwa navyo vinakimbia. Kwa kuwa maana ya ya kuishi huwa tena haipo. Fugeni tu hizo chuki (anger) na njaa (hunger).
Wewe unao ujasiri wa kuingia barabarani!
 
Back
Top Bottom