kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #121
Tatizo liko wapi!ndio ni nchi yangu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo liko wapi!ndio ni nchi yangu!!
Unachokisema ni kweli kabisa ila unafikiri ukiwaza kama hivi utaeleweka mbele ya wafia vyama na wachumia matumbo!Tutafikia hatua ya ajabu sana kama kila jambo tutakimbilia kuliihusisha moja kwa moja na itikafdi, mtazamo fulani na U-Chama, yaani CCM au CDM..
Kuna kero zinazotugusa wananzengo wote bila kujali itikadi za kisiasa au milengo yetu.
Tufike hatua ya kupunguza maslahi binafsi " vested interests" juu ya maslahi mapana ya Umma "Public interests". Vyama vya siasa ni wawakilishi wetu tu .
Tutafute buffer zone ya kukutanisha mitazamo kwa maslahi mapana ya Umma ila siyo kwa kutafutana ubaya.
Hapa ndipo tatizo letu lilipo, Kila kitu tunaingiza itikadi uchama....tunavurug sanaUnachokisema ni kweli kabisa ila unafikiri ukiwaza kama hivi utaeleweka mbele ya wafia vyama na wachumia matumbo!
Siasa zimevamiwa!Hapa ndipo tatizo letu lilipo, Kila kitu tunaingiza itikadi uchama....tunavurug sana
Na wenye njaa kichwaniSiasa zimevamiwa!
kwa nn uwapangie watu muda wa kuitisha press!sheria gani inakataza rais akihutubia na kutuhumu watu asijibiwe??Tatizo liko wapi!