Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Watu milioni 30 waache kutafuta riziki za familia zao waamue tu kuingia mitaani!. Haya mawazo ya Mbowe na Lema yamepitwa na wakati.Nilichosikia jana ni Conspiracy Theories, na Mipasho; Nimesikia, nimeona, etc etc etc Na kile kijeshi ati left right left right cha kuwashughulikia Chadema duuu. Hivi watu millioni 30 waingie mtaani na hicho kijeshi na hizo left right kitafanya nini! Anger, hunger vikifika kilele hivyo vi Left and Right huwa navyo vinakimbia. Kwa kuwa maana ya ya kuishi huwa tena haipo. Fugeni tu hizo chuki (anger) na njaa (hunger).