jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Sasa na wwe ukifa utaondoka na kitu gani hapa Duniani kabla hujajua wenzio wataondoka na nini!??Walikuwepo manguli lakin walisanda wakaondoka hawana ktu who is she
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa na wwe ukifa utaondoka na kitu gani hapa Duniani kabla hujajua wenzio wataondoka na nini!??Walikuwepo manguli lakin walisanda wakaondoka hawana ktu who is she
Nchi ina punguani wengi sana. Huwezi kukosa nafasi ya juu, kukiwa na mashindano ya mapunguani. Hata wakikupa nafasi ya 3, lalamika kuwa umeonewa.Niseme ukweli tu Rais wangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jemedari mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama tangu aingie madarakani ile hotuba ya jana ndio hotuba bora zaidi kupata kuitoa ikizidi ile ya siku ya kuapishwa kwake.
Amenifurahisha kwa kuudhirishia umma kuwa nchi ina raisi mmoja tu naye ni kutoka chama tawala na amiri jeshi mkuu ni mmoja tu Mama samia Suluhu Hassani.
Sasa kama wengi wao waliokuwa wana mjaribu kwa kujua mama akishindwa na watoto wake viburi hubaki kwa kusema subirini baba yenu arudi nitawasemea.
Jueni yeye hana huo udhaifu na anajia kila kitu nasema hivi hata yale matembezi ya mshikamano mliyoachiwa muda wowote jemedari anaweza yafuta ,
tena tabia zao za kuita press kila baada ya hotuba ya amiri jeshi mkuu ikomeshwe mara moja.
Walijua ni mwanamke wa mchezo mchezo tu JPM hakukosea kumchagua,
Hongera mama kwa hotuba bora kabisa ya kufungia mwaka na ya kufungilia uchaguzi wa serikali z mitaa.
Hata Hayati Magufuli amefurahi kwa kusikia nchi ipo kwenye mikono salama.
N.B: Wale mabaria wa kanada na ubeligiji kama hamna shughuli hapa nyumbani haya fungasheni mwende nchi inayo kiongozi hamtowachwa kama mpo juu ya sheria!
Pia soma:Rais Samia: Kama Wapinzani wameota Mikia Sheria zile zile bado zipo
Kwani hao wanasiasa hawana private life kama watu wengine!?Hakuna aliyedhani nchi haina kiongozi zaidi ya yeye kujiita chura kiziwi.
Wananchi wengi walitaka kuona uongozi kwenye masuala haya ya utekaji, na mauwaji ya kisiasa.
Yeye anafananisha mauwaji ya kisiasa na yale ya vikongwe wanaohisiwa uchawi.
Hapo ame “downplay” mauwaji na utekaji unaondelea.
Hivyo hotuba hiyo inaonyesha yuko nyuma ya huu uharamia unaoendelea na huku akijificha nyuma ya kichaka cha “4R”
Kifo ni kifo tu!!Nimeshangaa sn
Ufananishe mauaji ya kibao na ya wengine [emoji119][emoji1745]
Tukutane tarehe 23Nilichosikia jana ni Conspiracy Theories, na Mipasho; Nimesikia, nimeona, etc etc etc Na kile kijeshi ati left right left right cha kuwashughulikia Chadema duuu. Hivi watu millioni 30 waingie mtaani na hicho kijeshi na hizo left right kitafanya nini! Anger, hunger vikifika kilele hivyo vi Left and Right huwa navyo vinakimbia. Kwa kuwa maana ya ya kuishi huwa tena haipo. Fugeni tu hizo chuki (anger) na njaa (hunger).
Mimi nikipata ya tatu nitafurahi maana ya kwanza utakuwa wewe!Nchi ina punguani wengi sana. Huwezi kukosa nafasi ya juu, kukiwa na mashindano ya mapunguani. Hata wakikupa nafasi ya 3, lalamika kuwa umeonewa.
Wwe usiangalie mipasho,angalia katiba ya Tanzania inasemaje! Jiuulize katiba ya Tanzania imempa Rais mamlaka makubwa sana,na ndiyo maana ana weza hata kuzi challenge balozi mbali mbali hapa Nchini!!Nilichosikia jana ni Conspiracy Theories, na Mipasho; Nimesikia, nimeona, etc etc etc Na kile kijeshi ati left right left right cha kuwashughulikia Chadema duuu. Hivi watu millioni 30 waingie mtaani na hicho kijeshi na hizo left right kitafanya nini! Anger, hunger vikifika kilele hivyo vi Left and Right huwa navyo vinakimbia. Kwa kuwa maana ya ya kuishi huwa tena haipo. Fugeni tu hizo chuki (anger) na njaa (hunger).
Jitokeze useme hadharani haya uliyo andika!Wapo waliokuwa wanaishi kongo chai wanakunywa ufaransa ila walisanda yupo alijiita jiwe pamoja na kutawala kila ktu bt kwny uchaguz alisanda mpk akavuruga uchaguzi ule sembuse uyu tope sungura wa zenji leo jiwe amebaki story so atasanda tu ni swala la muda bahati mbaya sn kwake pia yule si mtanganyika anataka kutawala nchi nyngne kimabavu tupo watanganyka zaid ya mil 50 iweje mzanzibar aje uku kutumaliza atasanda tu
Wengi humu ni ma keyboard warriors,,,,au wanapata ujasiri wa kuandika hizi pumba zao wakijua hawapo bongo wapo kwenye nchi za mabeberu huko,,,,ila kujitokeza live hawana ubavu huo,,,,wataimba taarabu zao huku wamejificha kwenye keyboard zao huko canadaJitokeze useme hadharani haya uliyo andika!
Hatari sana wanajaza watu upepo!Wengi humu ni ma keyboard warriors,,,,au wanapata ujasiri wa kuandika hizi pumba zao wakijua hawapo bongo wapo kwenye nchi za mabeberu huko,,,,ila kujitokeza live hawana ubavu huo,,,,wataimba taarabu zao huku wamejificha kwenye keyboard zao huko canada
Nenda barabarani ukione cha motoHakuna sauti ya mwanamke yenye mamlaka hapa chini ya jua. Ile ya jana haikuwa sauti yenye mamlaka bali ilikuwa sauti yenye vichambo na yenye kusuta tu kwetu.
Sisi wajuba tulisikia ni sauti ya muimba taarabu mmoja hivi.
Kwan hapa nimejfcha mbona ww umeona atasanda tu ccm ipo ukingoni kbs haina maisha marefu kampeni za 2020 ndzo pia zlimmaliza jiwe maana alichokutana nacho hakutegemea sembuse huyu mzenjiJitokeze useme hadharani haya uliyo andika!
Dua la kuku!Kwan hapa nimejfcha mbona ww umeona atasanda tu ccm ipo ukingoni kbs haina maisha marefu kampeni za 2020 ndzo pia zlimmaliza jiwe maana alichokutana nacho hakutegemea sembuse huyu mzenji
Unadhan wengne hawana majeshi bt raia walipoamua walisanda so ni swala la muda tu hakuna jeshi la kuwazma raia wakiliamsha hata wengne nao walikuwa na vitisho kuliko hvyo ila walisandaJitokeze useme hadharani haya uliyo andika!
Unazungumzia wa nchi gani? kama ni hawa wa hapa tanzania kila mmoja anajenga bangaluu lake aishi na familia yake kwa amani hakuna wa kwenda kusumbuliwa na upuuzi!Unadhan wengne hawana majeshi bt raia walipoamua walisanda so ni swala la muda tu hakuna jeshi la kuwazma raia wakiliamsha hata wengne nao walikuwa na vitisho kuliko hvyo ila walisanda
Hapo ni pumba tuNiseme ukweli tu Rais wangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jemedari mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama tangu aingie madarakani ile hotuba ya jana ndio hotuba bora zaidi kupata kuitoa ikizidi ile ya siku ya kuapishwa kwake.
Amenifurahisha kwa kuudhirishia umma kuwa nchi ina raisi mmoja tu naye ni kutoka chama tawala na amiri jeshi mkuu ni mmoja tu Mama samia Suluhu Hassani.
Sasa kama wengi wao waliokuwa wana mjaribu kwa kujua mama akishindwa na watoto wake viburi hubaki kwa kusema subirini baba yenu arudi nitawasemea.
Jueni yeye hana huo udhaifu na anajia kila kitu nasema hivi hata yale matembezi ya mshikamano mliyoachiwa muda wowote jemedari anaweza yafuta ,
tena tabia zao za kuita press kila baada ya hotuba ya amiri jeshi mkuu ikomeshwe mara moja.
Walijua ni mwanamke wa mchezo mchezo tu JPM hakukosea kumchagua,
Hongera mama kwa hotuba bora kabisa ya kufungia mwaka na ya kufungilia uchaguzi wa serikali z mitaa.
Hata Hayati Magufuli amefurahi kwa kusikia nchi ipo kwenye mikono salama.
N.B: Wale mabaria wa kanada na ubeligiji kama hamna shughuli hapa nyumbani haya fungasheni mwende nchi inayo kiongozi hamtowachwa kama mpo juu ya sheria!
Pia soma:Rais Samia: Kama Wapinzani wameota Mikia Sheria zile zile bado zipo
CCM ipo na itaendelea kuwepo kama mlivyoikuta mtaondoka na mtaiachaKwan hapa nimejfcha mbona ww umeona atasanda tu ccm ipo ukingoni kbs haina maisha marefu kampeni za 2020 ndzo pia zlimmaliza jiwe maana alichokutana nacho hakutegemea sembuse huyu mzenji
Kakojoe urudi kitandani!Hapo ni pumba tu
Labda nikukojolee weweKakojoe urudi kitandani!