Sauti za kike zilizokuwa zikimback up Ndugai wakati akiongelea Mikopo ni kina nani!?

Sauti za kike zilizokuwa zikimback up Ndugai wakati akiongelea Mikopo ni kina nani!?

Hao watakuwa Wagogo wenzake waliokuwa kwenye hiyo MIKALILE YA WANYAUSI. Tulikula pia chakula cha asili cha Wagogo! Sijui wanakulaga manini?
 
Hotuba ya Ndugai ilikuwa nzuri sana hasa kama angeiongelea bungeni alikuwa amefunga goli la uhakika! Pumbavu akaipeleka kusikokuwa na kinga, mamamake!! Tumemkula kichwa!
 
Hotuba ya Ndugai ilikuwa nzuri sana hasa kama angeiongelea bungeni alikuwa amefunga goli la uhakika! Pumbavu akaipeleka kusikokuwa na kinga, mamamake!! Tumemkula kichwa!
Bungeni spika hatoi hoja we kima!!
Afu usikute we ni msomi kabisa!??
 
Bungeni spika hatoi hoja we kima!!
Afu usikute we ni msomi kabisa!??
Kwani lazima aitoe yeye? Umekeketwa nini? Siyo kwa hasira hizo! Hujawahi kumsikia Spika akichombeza kwenye mijadala? Punguani wewe!
 
Ndugai alimwambia Gwajima kuwa amechanja anaumwa...

Na ndugu yetu atakuja kufa na mawazo
 
Kuna kina mama walikuwa sideways wakati ndugai akiongea...na walimsupport. Ndugai alisema hii ni sahihi sijui hii ni sawa. Kuna mmama mmoja akasema 'not at all.

Hao nao hawana budi kuondoka naeee.

Haki tena. Mwenye ile video aweke.
Sauti za wakina Halima mdee na Easter Matiko hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Job inabidi amtafute aliemwalika kwny kile Kikundi cha Wagogo hadi akajikuta ameingia kwny 18 za Wahuni…juzi kati pia naskia alisema anakerwa sana na kukatika katika kwa Umeme sasa wahuni wa sukuma Gang wakashirikiana na wahuni wengine kumalizana nae
Hakika wamemalizana nae mazima! Huyu jobo alikuwa mtu fedhuli sana
 
Back
Top Bottom