Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Hakuna wenye hoja hapo zaidi ya chuki iliyopitiliza uwezo wao kifikra katika kukubali uzalendo wa Hayati JPM.Kwa kutumia hii hii habari yake ya kizushi,nimemuuliza maswali hajajibu mpaka sasa!!
Sasa mbona hao wengine niliwaamini lakini hawakutufikisha uchumi wa kati, yani IMF imuamini JPM lakini wewe Raia wa Mchambawima ndiyo usimuamini [emoji848][emoji1787]Wewe unaweza muamini Mwendazake? Yaani yule alivyokuwa muongo na kupenda propaganda na kuabudiwa?
Mwendazake ndiye alianzisha mambo ya kuponda watangulizi na kudanganya wanyonge wake kwa kusema tunajenga kwa pesa zetu kumbe mikopo ya kufa mtu.
[emoji106][emoji106]màgufool atakumbukwa kwa uwezo wake wa kupika data na kuongea uongo
#tunajenga kwa pesa za ndani
Assad hakuwa mteuliwa wa JPM bali alikuwa mteuliwa wa JK isipokuwa JPM aliendelea naye tu ktk uongozi.Na wewe una maswali ya kitoto,kwamba pesa za kuiba zilitoka wapi?
Muulize Assad na Kichere maana wote ni wateule wake na ndio watia ripoti
Unadhani kwenye hiyo miradi yote ya matirioni hakosi 10 au 20 percent?
NB. Miradi mingi iliyoanzishwa na serikali kwa kukurupuka imeanzishwa ili viongozi wapige pesa
Na wewe una maswali ya kitoto,kwamba pesa za kuiba zilitoka wapi?
Muulize Assad na Kichere maana wote ni wateule wake na ndio watia ripoti
Wewe unaweza muamini Mwendazake? Yaani yule alivyokuwa muongo na kupenda propaganda na kuabudiwa?
Mwendazake ndiye alianzisha mambo ya kuponda watangulizi na kudanganya wanyonge wake kwa kusema tunajenga kwa pesa zetu kumbe mikopo ya kufa mtu.
TZ iliingiaje uchumi wa kati ikiwa biashara zilikufa kabisa, au ndiyo zilikuwa data za kupikwa [emoji848][emoji16]
Hahaha vitu vingi Africa ni vya kupika
Ndo maana nasemaga wewe ni mpumbavu alafu ni kubwa jinga ,nyie si ndo mlisema magufuli ana mahusiano mabaya/mabovu na wazungu mpaka kufunga nchi kidiplomasia na mpaka leo hii mnasema mama anaenda ulaya kuifungua nchi, magufuli angepewaje mikopo kama alikuwa na mahusiano mabaya na donor countries!?? Wewe na kakikundi chako ni wasaliti risasi ni haki yenu.Wewe unaweza muamini Mwendazake? Yaani yule alivyokuwa muongo na kupenda propaganda na kuabudiwa?
Mwendazake ndiye alianzisha mambo ya kuponda watangulizi na kudanganya wanyonge wake kwa kusema tunajenga kwa pesa zetu kumbe mikopo ya kufa mtu.
Mtu ambaye hakopesheki leo amekuza deni la taifa kuliko anayekopesheka yani😅😅😂😂 vioja havitakaa viishe yaniJana tuliambiwa Nchi ilikuwa haikopesheki kwa sababu ya utawala wa kimabavu wa kuminya Demokradia ,alafu leo Magufuli amekopa sana na kusababisha teni la Taifa kuwa kubwa.SASA AMEKOPA WAPI WAKATI TULIKUWA HATUKOPESHEKI.Watanzania wengi hapa ndio panawapa shida hebu toeni ELIMU.
Acha Ufala, alipiga biti, issue zake zisivuje. Yule jamaa aliwashika mafala kama wewe.Mkuu acha blah blah,tuonyeshe ni jinsi ganI alipiga hizo trillions kutoka kwenye hiyo miradi
Kale nako sura ngumu kama sijui kitu ganiZitto Ni mnafiki
Kwamba kipindi cha uongozi wa JPM alipika habari za kuingia uchumi wa kati na MABEBERU wakasadifu na kutangaza ?
Mpumbavu ni wewe na baba yako,mikopo ya Magufuli ni mikopo ya kibiashara ambayo mingi ilikopwa kwenye mabenki ya kibiashara.Ndo maana nasemaga wewe ni mpumbavu alafu ni kubwa jinga ,nyie si ndo mlisema magufuli ana mahusiano mabaya/mabovu na wazungu mpaka kufunga nchi kidiplomasia na mpaka leo hii mnasema mama anaenda ulaya kuifungua nchi, magufuli angepewaje mikopo kama alikuwa na mahusiano mabaya na donor countries!?? Wewe na kakikundi chako ni wasaliti risasi ni haki yenu.
Ni kweli lakini Zitto ni mtu hatari snPombe aliharibu nchi sana.
Hayati alikuwa mtu mbaya sn lakini Zitto ni mnafiki snSidhani kama anamfikia hayati