😂😂 basi we wapeleke taratibu mimi sipendagi kuwalazia damu wahuni sazingine inabidi kwenda nao sawatu maana watuwenyewe walio chaguana kujaribu kuuwa legacy ya magu woote hawana hoja zenye akili ni mahasiratu yasiyo pimika ndio maana unaona wanatukanatu.Haaah haaah mkuu usiwapeleke speed speed kama hivyo,watakimbia wote hapa,twende nao taratiiiiiibu mpaka wakome kuzusha mambo
Walikuwa wanafikiri tumesahau waliyokuwa wanayasema kipind JPM yupo anapiga kazi?
Akili zako zilikufa na Jiwe ama? Mkaguzi wa serikali amesema hela imeibiwa, mpaka leo hakuna maelezo imeenda wapi! Wewe unaniuliza ilikotoka wakati unajua watanzania kila siku tunalipa kodi kupitia VAT na TRA. Au unataka kusema hizo kodi jiwe alizitoa kwa mama yake nyumbani?
Hakuna mahali alisema zilitumika bila kuidhinishwa, acha uongo kama marehemu wako. Alisema hazionekani. Full stop. Maana yake zimeibwa na hazina maelezoMnahasira mbaka akili zinakosa sehemu ya kukaa vichwani mwenu alafu mnashindwa kujiuliza, CAG alisema tr 1.5 zilitumika bila kuidhinishwa, sasa ndio muulizeni zilitumika wapi? Ndioutaambiwa ziliwajengea mamazenu hospital kijijini kwenu.
Ukituliza akili kidogo utaona hunahaja ya kupambana na marehemu.
Believe me.
Kwahiyo nisimuamini Prof Assad ambae ni miongoni mwa auditor 6 wakuu wa UN nije nisikilize porojo za Magu anaeua watu ili kuwanyamazisha wasiongee? Swali anatoa hela wapi nilishakujibu, ndo kiongozi ameiingiza hii nchi kwenye madeni makubwa kwa muda mfupi kuliko Rais yoyote, pili ndo mtu amepora watu kwa dhulma mali zao kuliko mtu yoyote. Kazi yake ilikuwa kunyamazisha watu kwa nguvu na kuaminisha watu uongoMkuu kwanza usiwe na HASIRA twende tararibu tu tutafika,
Pili achana na habari za CAG kasema,yeye
Sio MUNGU ni binadamu tu kama wewe
Tatu ni wazi kabisa hufahamu ofisi ya CAG inafanya kazi kwa namna gani
Na mwisho kabisa nakushauri soma kwa umakini hii thread,uelewe msingi wa swali langu then ndio uje tena hapa na majibu yenye mantiki
Toa ujinga wako, tulishudia wenyewe katika mkutatano na wafanyabiashara, Magufuri alivyoamuru mfanyabiashara mmoja hapo kkoo aliyekuwa amezurumiwa na tra kwa kukataa kutoa rushwa,kufukuza maafisa wa tra kwa dhuruma,kama Magufuri angeliwa anawanyanganya wafanyabiashara ela zao kama mnavyodai,angeliamuru tra walipe ela ya yule mzee pamoja na fidia?ache kumsingizia magufuri akina Mo wamekuwa wafanyabiashara bora Africa kipindi cha Magufuri,akina Bacressa na Mengi hatukuona wakilalamika kunyanganywa ela zao kwenya account,labda wafanyabiashara wa dili ndio walipata shida kwenye utawala wa MagufuriNenda kariakoo au uliza wizara ya fedha hutaweza kuwafahamu mimi binafsi nina marafiki zaidi ya wanne
Kwahiyo nisimuamini Prof Assad ambae ni miongoni mwa auditor 6 wakuu wa UN nije nisikilize porojo za Magu anaeua watu ili kuwanyamazisha wasiongee? Swali anatoa hela wapi nilishakujibu, ndo kiongozi ameiingiza hii nchi kwenye madeni makubwa kwa muda mfupi kuliko Rais yoyote, pili ndo mtu amepora watu kwa dhulma mali zao kuliko mtu yoyote. Kazi yake ilikuwa kunyamazisha watu kwa nguvu na kuaminisha watu uongo
View attachment 2195848
Alipora kwa wafanyabiashara..Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,
yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania
Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai
Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao
Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta
Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya
Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban
Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu
Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa
Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini
Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali
Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)
Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili
Kununua ndege kwa cash
Kununua wapinzani
Kuhamishia serikali Dodoma
Kujenga bwawa la Nyerere
Kujenga SGR
Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)
Kujenga airport ya chato (international?)
Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)
Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)
Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Mnahasira mbaka akili zinakosa sehemu ya kukaa vichwani mwenu alafu mnashindwa kujiuliza, CAG alisema tr 1.5 zilitumika bila kuidhinishwa, sasa ndio muulizeni zilitumika wapi? Ndioutaambiwa ziliwajengea mamazenu hospital kijijini kwenu.
Ukituliza akili kidogo utaona hunahaja ya kupambana na marehemu.
Believe me.
Alipora kwa wafanyabiashara..
Pili kutimiza wajibu wake hakujuatify wizi.
By the way alipokea Nchi ikiwa vizuri kiuchumi na watu Wana pesa ndio maana alipata hizo pesa ..
Ila sasa alipoharibu ndio kaanza kubambikia watu kesi,Kodi,kupora na upuuzi kama huo..
Hadi Samia anachukua Nchi ilikuwa imefikisika lakini kwa ubunifu na ujasiri imerudi kiasi kwenye mstari..
Mwisho Kati ya vyote ukivyotaja hapo juu ni ndege tuu ndio mradi uliokamikika ila miradi iliyobakia hakuna hata mmja aliuacha ukiwa umefikia hata 30%..
UMEMALIZA.MKUU PONGEZI......RAIS SAMIA ANAKAZI KUBWA SANAHuyo Kibwengo alikuwa GWIJI la MIKOPO mikubwa ya KIBIASHARA.
Zitto Kabwe: Miaka minne ya Magufuli deni la Taifa limeongezeka sawa na miaka 10 ya Kikwete
Unajua kabla ya ku comment ungemuuliza Zitto atoe uchambuzi wa matumizi ya hiyo mikopo iliyochukuliwa wakati wa kikwete na ya wakati wa Magufuli. Ndiyo maana tuna akili tumepewa na Mungu tuzitumie kama kuna mpotoshaji akitokea tuweze kuzitumia. Mfano Tanzania ilikua vituo vya afya 77 tangu...www.jamiiforums.com
Maana kwa Wazungu alikuwa hapati pesa.
Sasa hivi Rais Samia anafanya kazi ya kuchukua mikopo nafuu kutoka kwa Wazungu ili alipe Mikopo ya KIJUHA aliyokopa Magu.
ID yako ya kisukuma kabisaOndoa upopoma wako hapa.
Hujitambui,Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,
yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania
Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai
Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao
Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta
Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya
Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban
Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu
Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa
Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini
Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali
Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)
Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili
Kununua ndege kwa cash
Kununua wapinzani
Kuhamishia serikali Dodoma
Kujenga bwawa la Nyerere
Kujenga SGR
Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)
Kujenga airport ya chato (international?)
Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)
Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)
Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Swali la kitoto sana hili,Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,

Kiongozi Sasa usiniangushe. Mimi nakuona kama mtu mtulivu lakini nimegundua hauko makini. Hapa umefikia conclusion prematurely na kuyadhani ni majungu. Nilichokwambia ni kuwa VYOTE vitawekwa hadharani. Ingekuwa rahisi kwako kugundua kuwa hivi ulivyovisikia ni sehemu tu ya ufisadi husika labda uwe ujui maana ya vyote.Kama bado havijawekwa hadharani mpaka sasa,kumbe hizo story za UFISADI wa JPM nyinyi mnazitoa wapi?
Indirectly unakiri kwamba kwa sasa mnapiga majungu tu na si zaidi ya hapo,
sasa subiri mpaka huo muda utapofika ili ukiombwa USHAHIDI wa TUHUMA zako juu yake utoe bila sarakasi kama hizi
Ushauri wangu kwako kwa sasa piga kimya tu maana unajitesa mwenyewe
Unajua maana ya kupika data? Pia jua kuanzisha miradi si kumaliza miradi. Kumbuka nja kuu ya kufisadi ni kuanzisha complex miradi. Mfano SGR badala ya kuanza upande mmoja, alianzisha pande zote. Yule alikuwa mpigaji professional.So alikuwa anapika data na kuongea uongo lakini Tanzania ikawa moja ya nchi ambazo uchumi ulikuwa unakuwa kwa kasi ndani ya Africa,
na bado akafanikiwa kuanzisha miradi yote hiyo aliyoiacha,kwa kutumia uongo wake na kupika data?
Na bado akaweza kufisadi matrillion ya shilingi?
Duuh!! basi jamaa alikuwa so GENIUS
Huwezi jua, kwakuwa ilikuwa bado fala.Utakuwa unaliwa si bure; JK alifanya nini kwenye miaka hiyo 10?
Unajua maana ya kupika data? Pia jua kuanzisha miradi si kumaliza miradi. Kumbuka nja kuu ya kufisadi ni kuanzisha complex miradi. Mfano SGR badala ya kuanza upande mmoja, alianzisha pande zote. Yule alikuwa mpigaji professional.