kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 618
- 1,258
- Thread starter
-
- #141
Una AKILI timamu?
Rudia kusoma tena nilicho andika.
Hivi kwanini wafuasi wa marehemu Magufuli Ni watu ambao dishi limeyumba sana.
Wewe boga, hata uletewe ushahidi TANI 200 Hakuna kitu utaelewa kuhusu Magu.Wewe tangu umeanza kuchangia hii thread sijaona popote ulipotoa mchango/hoja yenye mantiki zaidi ya kushambulia watu na kuwatolea lugha chafu
Kwa wenye akili zao wanajua nani 'dishi limeyumba' Kati yako na hao wafuasi wa Magufuli !!
Ujambazi wa Bureau de change, akaunti za matajiri na mawe ambayo sasa yanaibukia Dubai. Commission za yote uliyoyaorodhesha alikuwa anakula. Kivuko alichokihamishia jeshini. Zitto amesema kama vipi mwende mkazikwe naye Chato.
Muwe mnaangalia na watu wa kuwateteaKwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,
yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania
Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai
Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao
Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta
Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya
Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban
Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu
Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa
Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini
Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali
Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)
Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili
Kununua ndege kwa cash
Kununua wapinzani
Kuhamishia serikali Dodoma
Kujenga bwawa la Nyerere
Kujenga SGR
Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)
Kujenga airport ya chato (international?)
Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)
Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)
Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Ni maombi yangu NYOTA itaonekana tena TANZANIA. Anakuja tena KIONGOZI wa Nchi ASIYE MWANASIASA. Hawatatulia waliopo sababu KAZI alofanya Magu ni kubwa sana Kwa muda mfupi.Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,
yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania
Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai
Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao
Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta
Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya
Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban
Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu
Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa
Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini
Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali
Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)
Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili
Kununua ndege kwa cash
Kununua wapinzani
Kuhamishia serikali Dodoma
Kujenga bwawa la Nyerere
Kujenga SGR
Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)
Kujenga airport ya chato (international?)
Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)
Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)
Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Wewe boga, hata uletewe ushahidi TANI 200 Hakuna kitu utaelewa kuhusu Magu.
Umekufa UMEOZA.
Magu aliwamudu sana nyie viazi mbatata
Muwe mnaangalia na watu wa kuwatetea
Huna akili.Weka USHAHIDI hapa kila mtu aone acha visingizio na lugha chafu
Kwa hizo akili zako unafikiri ukitoa lugha chafu kwa wengine ndio unakuwa umejibu HOJA zao?
Kwa wewe kutoa lugha za namna hii kwa wengine badala ya kujibu hoja zao ni kiashiria tosha cha kuishiwa hoja ama kushindwa katika huu mjadala!!
Huna akili.
Magufuli alishakufa. Andamana basi
Usiku ushaingia kalinde kaburiHaaaaah haaaaah haaaaaaah!!
Una AKILI timamu?
Rudia kusoma tena nilicho andika.
Hivi kwanini wafuasi wa marehemu Magufuli Ni watu ambao dishi limeyumba sana.
Muda wa kujibizana wewe umekwisha. Ngoja sisi tuendelee kufaidi amani ya nchi wewe mtetee tu shujaa wako.Nimekuuliza maswali hapo juu kulingana na majibu yako ya awali,
Sijafanya conclusion yoyote prematurely zaidi ya kukwambia kama hizo data za UFISADI wa JPM wewe huna kwa sasa basi piga kimya mpaka utakapokuwa nazo
Sasa unaniambia sijui hivi nilivyosikia ni sehemu tu ya UFISADI husika, nakwambia weka supporting evidence ya madai/tuhuma zako hapa unakimbilia kusema mahaba yananisumbua na blah blah nyingine kibao!!
Nikikwambia majungu tu ndio yanakusumbua juu ya JPM utakataa?
Stendi ya mbezi haikukamilika,Kijazi interchanrge hapo ubungo haikukamilika? serikali yake yote hakuamia dodoma yote?Sasa mlitaka yakamilike yote kwa miaka 5,hakuna rais aliyeweza kutekereza miradi yake yote kwa miaka 5,hata Magufuri alivyoingia halikamilisha miradi iliochwa na Kikwete ingawa Kikwete katawala miaka 10,mfano interchanrge ya mfugale ya buguruni,Uchumi upi magufuri alivuruga,wakati wa Kikwete mpaka mishara ya wafanyakazi ilikuwa shida, mpaka wafanyakazi walikuwa wanavuka mwezi hadi kufikia tarehe 10-15, mpaka akawa anasababisha migomo ya wafanyakazi kila mala,baada ya magufuri akaanza kulipa mishara tarehe 23 hadi leo, mpaka WB wakatangaza tanzania imengia katika nchi 10 zenye chumi bora Africa,nchi ikaingizwa Uchumi wa kati,Sasa Magufuri alivuruga Uchumi upi waka takwimu wakati wa Kikwete na Magufuri tulinganishe Nani kavuruga Uchumi,huyu Mama yenu kapokea nchi ikiwa nchi ikiwa katika Uchumi wa kati, sasahivi ameushusha,kwa maneno yake mwenyewe.Alipora kwa wafanyabiashara..
Pili kutimiza wajibu wake hakujuatify wizi.
By the way alipokea Nchi ikiwa vizuri kiuchumi na watu Wana pesa ndio maana alipata hizo pesa ..
Ila sasa alipoharibu ndio kaanza kubambikia watu kesi,Kodi,kupora na upuuzi kama huo..
Hadi Samia anachukua Nchi ilikuwa imefikisika lakini kwa ubunifu na ujasiri imerudi kiasi kwenye mstari..
Mwisho Kati ya vyote ukivyotaja hapo juu ni ndege tuu ndio mradi uliokamikika ila miradi iliyobakia hakuna hata mmja aliuacha ukiwa umefikia hata 30%..
Labda wawekezaji wa unga na matapeli,tuambie ni mwekezaji yupi unayemjua aliyekimbia?mtu ana backer ya kuchoma mikate na mandazi,biashara ikienda vibaya mnaanza kusema mwekezaji kafunga biashara na kukimbia,kama wawekezaji kukimbia mbona hata sasahivi wanakimbia Uber na Backers wamesema wanafunga biashara zao nchini.Na uchumi ulikufa,wawekezaji walikimbia nchi,je hiyo hela aliyofisadi ilitokea wapi?
Wakikupa jibu lenye mantiki nishtue na mimi
Ili tujue kama uchumi ulikuwa Bora lazima uniambie alikuta maskini wangapi na kawatoa wangapi kwenye umaskini..Stendi ya mbezi haikukamilika,Kijazi interchanrge hapo ubungo haikukamilika? serikali yake yote hakuamia dodoma yote?Sasa mlitaka yakamilike yote kwa miaka 5,hakuna rais aliyeweza kutekereza miradi yake yote kwa miaka 5,hata Magufuri alivyoingia halikamilisha miradi iliochwa na Kikwete ingawa Kikwete katawala miaka 10,mfano interchanrge ya mfugale ya buguruni,Uchumi upi magufuri alivuruga,wakati wa Kikwete mpaka mishara ya wafanyakazi ilikuwa shida, mpaka wafanyakazi walikuwa wanavuka mwezi hadi kufikia tarehe 10-15, mpaka akawa anasababisha migomo ya wafanyakazi kila mala,baada ya magufuri akaanza kulipa mishara tarehe 23 hadi leo, mpaka WB wakatangaza tanzania imengia katika nchi 10 zenye chumi bora Africa,nchi ikaingizwa Uchumi wa kati,Sasa Magufuri alivuruga Uchumi upi waka takwimu wakati wa Kikwete na Magufuri tulinganishe Nani kavuruga Uchumi,huyu Mama yenu kapokea nchi ikiwa nchi ikiwa katika Uchumi wa kati, sasahivi ameushusha,kwa maneno yake mwenyewe.
Kwaiyo Uchumi kukua ni viwanja na nyumba kuwa juu, wewe kweli kama ni msomi tumepata asara kubwa, magufuri kafanya kazi kwenye kipindi kigumu cha corona ambacho chumi za mataifa Mengi zilianguka kwasababu hakuwa na uzalishaji,hata hivi Uchumi wa tanzania haukuanguka ilikuwa kwa 4+,tafuta tarifa ujisomee,uone Africa kwa kipindi cha miaka 5 ni nchi hipi ilikuza Uchumi wake kupita tanzaniaIli tujue kama uchumi ulikuwa Bora lazima uniambie alikuta maskini wangapi na kawatoa wangapi kwenye umaskini..
Sasa na wewe tumiradi huto 3 sio twa kupigia kelele kwa miaka 5..
Pili miradi mingi zikiwemo stand na masoko CAG anasema hazina tija kwa sababu hata hazitumiki ilivyokusudiwa awali kwa hiyo is like pesa zimepotea eg Ndugai market,stand kama ya Sumbawanga,soko la kisutu nk..
Hiyo ya eti watumishi salary zilipita mwezi huo ni uongo,mimi ni mtumishi sio tuu tulilipwa kwa wakati bali tuliongezewa salary kila mwaka na kupanda madaraja...
Sasa mbona nyie mnataka Samia amalize miradi yote aliyoiacha Mwendazake kwa mwaka mmja na aanzishe miradi mingine mikubwa..
Tunaposema Magufu aliharibu uchumi tunamaanisha,sekta binafsi ya ujenzi ilikufa refer bei za viwanja kupomoka, biashara kufungwa,posta kubaki nyeupe,majengo na nyumba kupigwa bei na banks kwa sababu watu walishindwa marejesho na bado hazikuuzika..
Pili uwekezaji ulianguka,ajira zikapotea ikabakia kila mtu machinga ilimradi kudunduliza..
Mazao ya kilimo yaliporomoka bei kama mbaazi,ufuta,korosho nk..
Kiujumla list ni ndefu,huko maofisini hadi pesa za kuendesha ofisi hazikuwepo..
Ujenzi unaousema ni ule ulikuwa unafanywa na mashirika ya serikali na Magufuli alitegemea pesa zaidi ya gold,utalii na bandari/ logistics..
Hali ilipozidi kudorora ndio kukamua machinga kwa 20,000 kukaanza,kupora wafanyabiashara pesa,kubabimbikia Kodi kwa argent notice nk nk..