Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Wakwepa majukumuKATAA NDOA NI WAHUNI TU WANAOPENDA MSELELEKO, YAANI UTELEZI WA BURE, HAWATAKI KUOA ILA WAVIZIA WAKE WA WENZAO, ILI WAJISIFIE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakwepa majukumuKATAA NDOA NI WAHUNI TU WANAOPENDA MSELELEKO, YAANI UTELEZI WA BURE, HAWATAKI KUOA ILA WAVIZIA WAKE WA WENZAO, ILI WAJISIFIE
😆😆😆😆🙌🏾Dah!Hao jamaa wanajikakamua tu ila ukweli wanaujua.Unakataa ndoa ili uwe "bibie" wa watu?
Ila wanawake waliolewa wamekuwa wa hovyo sana hawajielewi kabisaKATAA NDOA NI WAHUNI TU WANAOPENDA MSELELEKO, YAANI UTELEZI WA BURE, HAWATAKI KUOA ILA WAVIZIA WAKE WA WENZAO, ILI WAJISIFIE
Wake za watu ndio wanataka vijana single sababu mda wote nyege.Sera ya kukataa ndoa isibakie kwenu tu ila pia mkatae na ndoa za wengine ili msiziingilie.
Tofauti na hapo mnakuwa tu kama kikundi cha vijana matapeli mjini.
Maana kutokana na historia ya matukio kitakachofata kwenu mara nyingi ni death, ulemavu au kuziburia choo (something you really dont wish for)
As long as hujambaka, umemtongoza akakubali mweyewe, sio wajibu wako kujua kama ni mke wa mtu ama lah, wewe ni kula tu.Ukiacha ndugu zangu wa damu,mimi nachukulia kuwa wanawake wote ni mali yangu
Awe msimbe,awe mke wa mtu,mjane,nk ni kupeleka moto tu
Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu
hawajielewi kivipi wanajileta wenyewe au mnawawekea ulezi mkishajua mume wake anajitafuta mnajifanya kutumia fursaIla wanawake waliolewa wamekuwa wa hovyo sana hawajielewi kabisa
Nashauri, kipaumbele kati ya hayo ma3, yaani death, ulemavu na kuziburiwa choo, basi priority iwe kuziburiwa Kinyec.Sera ya kukataa ndoa isibakie kwenu tu ila pia mkatae na ndoa za wengine ili msiziingilie.
Tofauti na hapo mnakuwa tu kama kikundi cha vijana matapeli mjini.
Maana kutokana na historia ya matukio kitakachofata kwenu mara nyingi ni death, ulemavu au kuziburia choo (something you really dont wish for)
Ndivyo ilivyo 😄 ni jambo moja kati ya haya mawili ;Hahahahah au sio
Usiweke hasira kwa hizi mbususu mwanawane ni zetu woteHahaha hapana mkuu sijagundua ila nikijua mtaniona ITV matukio napandishwa difenda hahahahahah
Angalia!isije na wewe ukawA Mke wA mtu huko mbagala ukajikutA wewe na huyo mke wa mtu mume wenu mmojA.Ukiacha ndugu zangu wa damu,mimi nachukulia kuwa wanawake wote ni mali yangu
Awe msimbe,awe mke wa mtu,mjane,nk ni kupeleka moto tu
Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu