Sawa mnapoamua kukataa ndoa na ku-embrace u-bachelor basi msianze tena kusumbua wake za watu bakieni na mishenitauni wenzenu

KATAA NDOA NI WAHUNI TU WANAOPENDA MSELELEKO, YAANI UTELEZI WA BURE, HAWATAKI KUOA ILA WAVIZIA WAKE WA WENZAO, ILI WAJISIFIE
Ila wanawake waliolewa wamekuwa wa hovyo sana hawajielewi kabisa
 
Sera ya kukataa ndoa isibakie kwenu tu ila pia mkatae na ndoa za wengine ili msiziingilie.

Tofauti na hapo mnakuwa tu kama kikundi cha vijana matapeli mjini.

Maana kutokana na historia ya matukio kitakachofata kwenu mara nyingi ni death, ulemavu au kuziburia choo (something you really dont wish for)
Wake za watu ndio wanataka vijana single sababu mda wote nyege.
 
Ukiacha ndugu zangu wa damu,mimi nachukulia kuwa wanawake wote ni mali yangu

Awe msimbe,awe mke wa mtu,mjane,nk ni kupeleka moto tu

Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu
As long as hujambaka, umemtongoza akakubali mweyewe, sio wajibu wako kujua kama ni mke wa mtu ama lah, wewe ni kula tu.

Mimi mwanamke hawezi kunivutia ama kujuleta kwangu niache kumla eti kisa mke wa mtu, inanihusu nini mimi? Its non of my business.
 
Ila wanawake waliolewa wamekuwa wa hovyo sana hawajielewi kabisa
hawajielewi kivipi wanajileta wenyewe au mnawawekea ulezi mkishajua mume wake anajitafuta mnajifanya kutumia fursa
 
Kwani wote tumekuja kufanya kitu kimoja tu huku duniani,watu tuna mipango tofauti na hivyo vitu vya kupita.
 
hawajielewi kivipi wanajileta wenyewe au mnawawekea ulezi mkishajua mume wake anajitafuta mnajifanya kutumia fursa
Wahuni hawa ndio maana wanatumiwa kina nyundo ahhahahah
 
Sera ya kukataa ndoa isibakie kwenu tu ila pia mkatae na ndoa za wengine ili msiziingilie.

Tofauti na hapo mnakuwa tu kama kikundi cha vijana matapeli mjini.

Maana kutokana na historia ya matukio kitakachofata kwenu mara nyingi ni death, ulemavu au kuziburia choo (something you really dont wish for)
Nashauri, kipaumbele kati ya hayo ma3, yaani death, ulemavu na kuziburiwa choo, basi priority iwe kuziburiwa Kinyec.
 
Ukiacha ndugu zangu wa damu,mimi nachukulia kuwa wanawake wote ni mali yangu

Awe msimbe,awe mke wa mtu,mjane,nk ni kupeleka moto tu

Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu
Angalia!isije na wewe ukawA Mke wA mtu huko mbagala ukajikutA wewe na huyo mke wa mtu mume wenu mmojA.
 
Back
Top Bottom