Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

Huna hoja zaidi ya ubishi tu
Thibitisha dina hoja.

Pangua nilichoandoka kimantiki na kuonesha sina hoja.

Usiandike tu "huna hoja".

Kochaa yeyote mvivu anaweza kuandika "huna hoja".

Thibitisha unachodai.

Usiweke shutuma ya kizembe tu "huna hoja".

Hapo wewe ndiye utakuwa huna hoja kwenye shutuma yako kwamba sina hoja.
 
Mungu ni muweza wa yote
 
Imani ni bayana ya mambo yatarajiwayo
Kwanini ujisumbue sasa kuamini kitu ukitarajiacho ambacho huna uhakika nacho...kwanini usiamini hata JUA tu unalo liona...utarajie kwenda mbingu ambako hakuna alie enda akarudi...!


Swala la Imani tumepigwa na kitu kizito sana...Bora tunge Baki na Imani zetu tu za mizimu...!​
 
Kwahiyo wewe kuwa yesu aliye hai unaona tulipigwa? Kuabudu mizimu hujakatazwa mkuu wee abdu tu
 
Wacha dharau na kiburi cha uzima. Twende kanisani tukamuabudu Yesu katika Roho na kweli.
 
Mungu ni muweza wa yote
Thibitisha.

Mungu anaweza kuumba jiwe zito kiasi asiweze kulibeba?

Akiweza kuliumba, atakuwa hawezi yote, kwa sababu atakuwa hawezi kulibeba hilo jiwe.

Akiwa hawezi kuliumba hilo jiwe, atakuwa hawezi yote, kwa sababu atakuwa hawezi kuliumba hilo jiwe.

Mungu muweza yote ni wa hadithi tu, hayupo.
 
Tutajua huko huko tukishafika. Hata tulipokuja hapa duniani, hatukujua kama tutakutana na mazombi haya!
 
Mzee wa Schrodinger, huu mfano ni wa zamani sana. Hujautunga wala kuuanzisha wewe.

Unaweza kumtoa msukuma.na kumpeleka akaogeshe na kuvifuta mavi vibibi na vibabu vya kizungu USA ila huwezi kuutoa usukuma wake ndani yake. Bado u nshamba sana wewe jamaa.
 
Unadhani kweli Mungu aliogopa kwamba wangejenga mara wa kufika huko aliko? Siku hizi tuna spacecraft zinaenda mpaka outer space lakini hawajamkuta Mungu huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…