Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

Wakuu Bwana ni mwema!!

Maandiko yanatuambia ya kuwašŸ‘‡šŸ‘‡Mwanzo 11:1-7 (KJV) Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.
Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.
Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.
Bwana akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.
Bwana akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.
Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.

Vilevile yanatuambia baada ya taabu zetu hapa duniani basi tutaenda mbinguni Kwa Mungu wetu.

Huko mbinguni nikustarehe na kula Bata tu Hadi basi

Swali ambalo Huwa najiuliza Kila mara NI SAWA TUMEFIKA MBINGUNI JE TUTATUMIA LUGHA GANI?

imagine hii Dunia Ina lugha nyingi mno huenda ni maelefu ya lugha je TUTATUMIA LUGHA ipi kuwasiliana au tutatengwa?

Mfano sisi waswahili tunakuwa na kamkoa ketu. Vivyo hivyo na wakenya,Japan, USA,nk?

Kwa upande wa wenzetu mi naona lugha Yao ni Moja tu yaani kiaarabu pekee je sisi ambao Hadi Kuna bible zenye lugha ya kichagana kisukuma itakuaje?

Karibuni.
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo na mbinguni kupo kweli.
 
Mkuu hizi hadithi ungetakiwa uziache ulivyo maliza tu darasa la saba, sasa wewe umezibeba hadi ukubwani 😁😁😁,hizo ni kwa ajili ya mafundisho ya watoto kuwakuza katika tabia njema kwa hadithi za namna hiyo na za kina juma na uledi .
Watu wanakua miili tu.. akili zinabaki za kitoto. Hawawezi hata kubaini mambo ya dhahania na mambo ya uhalisia.
 
Mtapewa miili mipyaa na lugha mpyaa na mavaz mapyaaa ... We unazani utaenda na huo ufupi wako kama joti pamoja na ayoo matege yako plus bushaa la urithi....think twice b4 kuulizaaa

God is great

.
 
Kama akili zako kweli ziko sawa,swali la kwanza lilitakiwa liwe utapanda bus gani kuelekea mbinguni,au itakuwa bajaji,train au boat kama za azam may be!!!

Umerukia swali section B,wakati majibu ya section A yanahitajika huko,pata majibu ya A kwanzašŸ˜„
Mkuu maandiko yanasema tutamlaki Bwana hewani it means tutapaa hakika. Kuhusu mabawa usiniulize tafadhar
 
Wakuu Bwana ni mwema!!

Maandiko yanatuambia ya kuwašŸ‘‡šŸ‘‡Mwanzo 11:1-7 (KJV) Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.
Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.
Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.
Bwana akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.
Bwana akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.
Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.

Vilevile yanatuambia baada ya taabu zetu hapa duniani basi tutaenda mbinguni Kwa Mungu wetu.

Huko mbinguni nikustarehe na kula Bata tu Hadi basi

Swali ambalo Huwa najiuliza Kila mara NI SAWA TUMEFIKA MBINGUNI JE TUTATUMIA LUGHA GANI?

imagine hii Dunia Ina lugha nyingi mno huenda ni maelefu ya lugha je TUTATUMIA LUGHA ipi kuwasiliana au tutatengwa?

Mfano sisi waswahili tunakuwa na kamkoa ketu. Vivyo hivyo na wakenya,Japan, USA,nk?

Kwa upande wa wenzetu mi naona lugha Yao ni Moja tu yaani kiaarabu pekee je sisi ambao Hadi Kuna bible zenye lugha ya kichagana kisukuma itakuaje?

Karibuni.
Pia kwenda Mbinguni sio kitu kirahisi hivyo bwana ni kwa kudra Kweli Kweli!
 
Kwani tunavyoishi hapa duniani,uliwahi kuona tumeshindwa kuwasiliana?
 
Lugha ni moja tuu kiarabu..
Alafu wote tutakua katika umri mmoja yaani vijana mashabab...

Hakutokua na mtoto..
Kila mwanaume utapewa wadada mia ambao hao utawatumia kadri utakavyo tena Mungu mwingi wa rehma atakupa na nguvu za kuwakanda hao warembo.

Mkuu ni hatare sana unaambiwa
Kwahiyo wake zetu tutanyang'anywa mkuu?
 
Back
Top Bottom