Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

Suala si mimi na kuniweza. Hizi ni hoja, zilikuwepo kabla mimi sijazaliwa.

Sema huwezi kuthibitisha Mungu yupo na mbinguni kupo.

Usiseme huniwezi mimi.
Ndo kama Hivi Sasa tumeshaanza maandalizi ya kwenda sema lugha ndo kama Hivi nauliza Bado
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Mwandishi wa habari hio hakua na uelewa wa jiografia
Aliandika akiwa anafikra kuwa mbingu ipo juu angani, wakati anga limejawa na nyota na sayari
Makazi ya Mungu Ni Siri kuu

Hio Ni simulizi ya ubunifu Kama ile ya Adam na Hawa kwa maudhui ya kujenga hoja ya asili ya lugha mbalimbali za wanadam

Ukweli Ni kuwa mwanadamu zamani hakuwa na taknolojia ya kujenga jengo refu hata la kilometa 1

Mwandishi anaonesha kuwa Mungu alihofu kazi ya ujenzi ingewafanya watu wafike mbinguni kitu ambacho si kweli, maana angani kote Ni utupu zaidi ya uwepo wa nyota tu

Tuseme Basi wangeweza kujenga jengo la kilometa nyingi, (japo si kweli) maana yake wangeishia kukosa hewa na kazi yao ingeishia hapo

Nikijibu swali kuhusu lugha gani tutaongea baada ya ufufuko, (sababu Mimi ni Kati ya wanaoamini ufufuko wa wafu) ni hiohio lugha ambayo kila mmoja anaongea sasa

Kila mtu ataongea lugha yake then kila mmoja atamsikia mwenzake anaongea kwa lugha yake!
Kumbuka dunia ijayo Ni dunia ya utukufu mkuu.
Na hakika tutashuhudia mengi ya ajabu kwenye maisha mapya ya utukufu.

Tubuni na kuiamini Injili
[emoji120]
 
Mwandishi wa habari hio hakua na uelewa wa jiografia
Aliandika akiwa anafikra kuwa mbingu ipo juu angani, wakati anga limejawa na nyota na sayari
Makazi ya Mungu Ni Siri kuu

Hio Ni simulizi ya ubunifu Kama ile ya Adam na Hawa kwa maudhui ya kujenga hoja ya asili ya lugha mbalimbali za wanadam

Ukweli Ni kuwa mwanadamu zamani hakuwa na taknolojia ya kujenga jengo refu hata la kilometa 1

Mwandishi anaonesha kuwa Mungu alihofu kazi ya ujenzi ingewafanya watu wafike mbinguni kitu ambacho si kweli, maana angani kote Ni utupu zaidi ya uwepo wa nyota tu

Tuseme Basi wangeweza kujenga jengo la kilometa nyingi, (japo si kweli) maana yake wangeishia kukosa hewa na kazi yao ingeishia hapo

Nikijibu swali kuhusu lugha gani tutaongea baada ya ufufuko, (sababu Mimi ni Kati ya wanaoamini ufufuko wa wafu) ni hiohio lugha ambayo kila mmoja anaongea sasa

Kila ataongea lugha yake then kila mmoja atamsikia mwenzake anaongea kwa lugha yake!
Kumbuka dunia ijayo Ni dunia ya utukufu mkuu.
Na hakika tutashuhudia mengi ya ajabu kwenye maisha mapya ya utukufu.

Tubuni na kuiamini Injili
[emoji120]
Hakika umesomeka mkuu. Kama ni hivyo ni sawa kabisa
 
Lugha ni moja tuu kiarabu..
Alafu wote tutakua katika umri mmoja yaani vijana mashabab...

Hakutokua na mtoto..
Kila mwanaume utapewa wadada mia ambao hao utawatumia kadri utakavyo tena Mungu mwingi wa rehma atakupa na nguvu za kuwakanda hao warembo.

Mkuu ni hatare sana unaambiwa
Mkuu hujataja mito ya pombe, ambayo watu watakunywa hata Ukitaka kuoga pombe ruksa
 
Ewaaah kuna mito ya pombe na maziwa sasa ni wewe utachagua uoge pombe au maziwq..

Alafu note bande (NB)
Pombe ya kule sio kama ya huku duniani mkuu..

Kule kuna pombe ambayo kuinywa unahisi raha ambayo ujawahi kuipata hapa duniani mkuu...

Pia kuna mengi sana mengine siwezi kusema maana watu wataanza kuona wivu sasa
 
Back
Top Bottom