Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #41
Jibu lenye afya kabisa hiliTutapewa miili mipya..na kuvishwa vazi ambalo hatutalivua halichafuki...yaani wote tutakuwa sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu lenye afya kabisa hiliTutapewa miili mipya..na kuvishwa vazi ambalo hatutalivua halichafuki...yaani wote tutakuwa sawa
Wenyewe watakua wakata/wasenyakuni za kupikia misosi ya kula mashababi.Si mchezo sheikh!Kwahiyo wake zetu tutanyang'anywa mkuu?
Hapana ila inategemea kama mkeo nae atafanikiwa kuingia peponi utakua naye mkuu huko hakuna kitu kinaitwa wivuKwahiyo wake zetu tutanyang'anywa mkuu?
Tumeambiwa tujiandae na kujiweka Tyr mkuu au hujui hili?Utajua kama utafika huko
mjadala ni Kwa wale wanaoenda mbinguni tu mkuuMbingu haijawahi kuwepo, haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Ukifa wewe ni chakula cha mafinyofinyo na rutuba ardhini.
Mara nyingi tunawasiliana Kwa ishara kama lugha hamuelewaniKwani tunavyoishi hapa duniani,uliwahi kuona tumeshindwa kuwasiliana?
Kwani,lugha ni nini/maana yake nini?Mara nyingi tunawasiliana Kwa ishara kama lugha hamuelewani
PamojaMtakaa kwa makund kama mlvyokuja
Utani huuWenyewe watakua wakata/wasenyakuni za kupikia misosi ya kula mashababi.Si mchezo sheikh!
Ni sauti za nasibu zenye kutoa maana zilizo kusudiwa na jamii zitumike ktk mawasiliano.Kwani,lugha ni nini/maana yake nini?
Unajuaje kwamba kila aliye hapa anataka kwenda mbinguni?Huu
mjadala ni Kwa wale wanaoenda mbinguni tu mkuu
Wapo kama funza hivi.Mkuu, mafinyofinyo ndiyo nini? 😄
Mkuu wewe nakufahamu sitakuweza. Kesho sabato nenda kanisani basiKwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo na mbinguni kupo kweli.
Upo sawa lkn hii ni Imani kama Imani zingine tulinazo.Unajuaje kwamba kila aliye hapa anataka kwenda mbinguni?
Ukisha post kitu public wachangiaji ni kila mtu.
Mbona hata wachungaji hawakijuiKiebrania
KisubwaKwani sasa hivi unaongea lugha gan?
Suala si mimi na kuniweza. Hizi ni hoja, zilikuwepo kabla mimi sijazaliwa.Mkuu wewe nakufahamu sitakuweza. Kesho sabato nenda kanisani basi