Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo na mbinguni kupo kweli.
 
Watu wanakua miili tu.. akili zinabaki za kitoto. Hawawezi hata kubaini mambo ya dhahania na mambo ya uhalisia.
 
Mtapewa miili mipyaa na lugha mpyaa na mavaz mapyaaa ... We unazani utaenda na huo ufupi wako kama joti pamoja na ayoo matege yako plus bushaa la urithi....think twice b4 kuulizaaa

God is great


.
 
Mkuu maandiko yanasema tutamlaki Bwana hewani it means tutapaa hakika. Kuhusu mabawa usiniulize tafadhar
 
Pia kwenda Mbinguni sio kitu kirahisi hivyo bwana ni kwa kudra Kweli Kweli!
 
Kwani tunavyoishi hapa duniani,uliwahi kuona tumeshindwa kuwasiliana?
 
Kwahiyo wake zetu tutanyang'anywa mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…