Sawa tunaokukosoa unatuita 'Mbwa Mwitu'. Je, sisi ndiyo tulikufanya uuache Ukuu wako wa Mkoa ili 'ukagaragazwe' Kigamboni?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ulichotakiwa Kufanya ni Kukabidhi tu Ofisi ya Watu kisha ukae usubirie tu Huruma ya Roho Mtakatifu au 'Ushirikina' wako ili 'Nyota' yako iendelee Kung'aa 'Uteuliwe' tena lakini siyo kuanza 'Kujimwambafai' kwa mambo ya 'Kipumbavu' ambayo Watangulizi wako walishafanya Makubwa zaidi yako na wala hawakutaka Sifa za 'Kipuuzi' hizi kama zako.

Kuhusu Kutuita Sisi 'tunaokukosoa' na 'tusiokupenda' tena wakiongozwa na Mimi mwana CCM na mwana Simba SC Mwenzako kuwa ni ' Mbwa Mwitu ' tunaopenda ' Kubwekabweka ' hovyo wala hujakosea. Ni huku huku 'Kubwekabweka' Kwetu ndiyo kumekufanya hata juhudi zako za ' Kutia Nia 'Jimbo la Kigamboni' zifeli ' jambo ulihonga mno Pesa zako za Dhuluma.

Na ulivyo na Matatizo makubwa ya Akili 'Kichwani' umepewa nafasi fupi tu ya Kushukuru na Kumwacha 'Mteuliwaji' mpya aanze 'Majukumu' yake ya Kutuhudumia wana 'Mzizima' Wewe unaanza Kutoa Kauli zako za Kutia 'Huruma' na kama vile unamwambia Rais JPM kuwa 'Akuteue' tena wakati tunajua 'alikuonya' kuwa usiende Kigamboni na Wewe ukamuanisha kuwa Utashinda tu.

'Mbwa Mwitu' Mwandamizi Mimi GENTAMYCINE namalizia hapa kwa Kukuambia ya kwamba Kila lenye Mwanzo huwa lina Mwisho na kama ulidhani labda pamoja na ' Ushirikina ' wako pamoja na Kuwatumia Viongozi wa Dini wakubwa wa Kikristo na Kiislamu hadi kuwapa Vijana wa Mtandaoni Pesa ili JPM akukumbuke tena basi umechelewa na sasa pambana tu na Hali yako. Huna tena chako ndani ya Moyo wa na Roho ya JPM wala katika Seriakali yake na wala ndani ya CCM.

Umeshakwisha Kimoja
 
Ulichotakiwa Kufanya ni Kukabidhi tu Ofisi ya Watu kisha ukae usubirie tu Huruma ya Roho Mtakatifu au 'Ushirikina' wako ili 'Nyota' yako iendelee Kung'aa 'Uteuliwe' tena lakini siyo kuanza 'Kujimwambafai' kwa mambo ya 'Kipumbavu' ambayo Watangulizi wako walishafanya Makubwa zaidi yako na wala hawakutaka Sifa za 'Kipuuzi' hizi kama zako.

Kuhusu Kutuita Sisi 'tunaokukosoa' na 'tusiokupenda' tena wakiongozwa na Mimi mwana CCM na mwana Simba SC Mwenzako kuwa ni ' Mbwa Mwitu ' tunaopenda ' Kubwekabweka ' hovyo wala hujakosea. Ni huku huku 'Kubwekabweka' Kwetu ndiyo kumekufanya hata juhudi zako za ' Kutia Nia 'Jimbo la Kigamboni' zifeli ' jambo ulihonga mno Pesa zako za Dhuluma.

Na ulivyo na Matatizo makubwa ya Akili 'Kichwani' umepewa nafasi fupi tu ya Kushukuru na Kumwacha 'Mteuliwaji' mpya aanze 'Majukumu' yake ya Kutuhudumia wana 'Mzizima' Wewe unaanza Kutoa Kauli zako za Kutia 'Huruma' na kama vile unamwambia Rais JPM kuwa 'Akuteue' tena wakati tunajua 'alikuonya' kuwa usiende Kigamboni na Wewe ukamuanisha kuwa Utashinda tu.

'Mbwa Mwitu' Mwandamizi Mimi GENTAMYCINE namalizia hapa kwa Kukuambia ya kwamba Kila lenye Mwanzo huwa lina Mwisho na kama ulidhani labda pamoja na ' Ushirikina ' wako pamoja na Kuwatumia Viongozi wa Dini wakubwa wa Kikristo na Kiislamu hadi kuwapa Vijana wa Mtandaoni Pesa ili JPM akukumbuke tena basi umechelewa na sasa pambana tu na Hali yako. Huna tena chako ndani ya Moyo wa na Roho ya JPM wala katika Seriakali yake na wala ndani ya CCM. Umeshakwisha Kimoja!
Makonda kijana wa ajabu.
Alipokuwa anamkandika purukushani mzee Warioba alifikiri wana Darisalama hatuoni kuwa hafai?
 
Wanaume wa Dar washukuru wamepona kupimwa tezi dume nyumba kwa nyumba [emoji16][emoji16][emoji16]
20200803_084716.jpg
 
Ulichotakiwa Kufanya ni Kukabidhi tu Ofisi ya Watu kisha ukae usubirie tu Huruma ya Roho Mtakatifu au 'Ushirikina' wako ili 'Nyota' yako iendelee Kung'aa 'Uteuliwe' tena lakini siyo kuanza 'Kujimwambafai' kwa mambo ya 'Kipumbavu' ambayo Watangulizi wako walishafanya Makubwa zaidi yako na wala hawakutaka Sifa za 'Kipuuzi' hizi kama zako.

Kuhusu Kutuita Sisi 'tunaokukosoa' na 'tusiokupenda' tena wakiongozwa na Mimi mwana CCM na mwana Simba SC Mwenzako kuwa ni ' Mbwa Mwitu ' tunaopenda ' Kubwekabweka ' hovyo wala hujakosea. Ni huku huku 'Kubwekabweka' Kwetu ndiyo kumekufanya hata juhudi zako za ' Kutia Nia 'Jimbo la Kigamboni' zifeli ' jambo ulihonga mno Pesa zako za Dhuluma.

Na ulivyo na Matatizo makubwa ya Akili 'Kichwani' umepewa nafasi fupi tu ya Kushukuru na Kumwacha 'Mteuliwaji' mpya aanze 'Majukumu' yake ya Kutuhudumia wana 'Mzizima' Wewe unaanza Kutoa Kauli zako za Kutia 'Huruma' na kama vile unamwambia Rais JPM kuwa 'Akuteue' tena wakati tunajua 'alikuonya' kuwa usiende Kigamboni na Wewe ukamuanisha kuwa Utashinda tu.

'Mbwa Mwitu' Mwandamizi Mimi GENTAMYCINE namalizia hapa kwa Kukuambia ya kwamba Kila lenye Mwanzo huwa lina Mwisho na kama ulidhani labda pamoja na ' Ushirikina ' wako pamoja na Kuwatumia Viongozi wa Dini wakubwa wa Kikristo na Kiislamu hadi kuwapa Vijana wa Mtandaoni Pesa ili JPM akukumbuke tena basi umechelewa na sasa pambana tu na Hali yako. Huna tena chako ndani ya Moyo wa na Roho ya JPM wala katika Seriakali yake na wala ndani ya CCM. Umeshakwisha Kimoja!
GENTAMYCINE hivi hujui kuwa huyu jamaa kasema ana Yesu. Halafu kasema ni askari ambaye yuko benchi. Sasa wewe mletee upopoma wako huku ukibweka uone atakachokufanya.
 
Ulichotakiwa Kufanya ni Kukabidhi tu Ofisi ya Watu kisha ukae usubirie tu Huruma ya Roho Mtakatifu au 'Ushirikina' wako ili 'Nyota' yako iendelee Kung'aa 'Uteuliwe' tena lakini siyo kuanza 'Kujimwambafai' kwa mambo ya 'Kipumbavu' ambayo Watangulizi wako walishafanya Makubwa zaidi yako na wala hawakutaka Sifa za 'Kipuuzi' hizi kama zako.

Kuhusu Kutuita Sisi 'tunaokukosoa' na 'tusiokupenda' tena wakiongozwa na Mimi mwana CCM na mwana Simba SC Mwenzako kuwa ni ' Mbwa Mwitu ' tunaopenda ' Kubwekabweka ' hovyo wala hujakosea. Ni huku huku 'Kubwekabweka' Kwetu ndiyo kumekufanya hata juhudi zako za ' Kutia Nia 'Jimbo la Kigamboni' zifeli ' jambo ulihonga mno Pesa zako za Dhuluma.

Na ulivyo na Matatizo makubwa ya Akili 'Kichwani' umepewa nafasi fupi tu ya Kushukuru na Kumwacha 'Mteuliwaji' mpya aanze 'Majukumu' yake ya Kutuhudumia wana 'Mzizima' Wewe unaanza Kutoa Kauli zako za Kutia 'Huruma' na kama vile unamwambia Rais JPM kuwa 'Akuteue' tena wakati tunajua 'alikuonya' kuwa usiende Kigamboni na Wewe ukamuanisha kuwa Utashinda tu.

'Mbwa Mwitu' Mwandamizi Mimi GENTAMYCINE namalizia hapa kwa Kukuambia ya kwamba Kila lenye Mwanzo huwa lina Mwisho na kama ulidhani labda pamoja na ' Ushirikina ' wako pamoja na Kuwatumia Viongozi wa Dini wakubwa wa Kikristo na Kiislamu hadi kuwapa Vijana wa Mtandaoni Pesa ili JPM akukumbuke tena basi umechelewa na sasa pambana tu na Hali yako. Huna tena chako ndani ya Moyo wa na Roho ya JPM wala katika Seriakali yake na wala ndani ya CCM. Umeshakwisha Kimoja!
Yuko sawa nyie ni mbwa mwitu ,ulipo jibu tu nikajua alieambiwa kasikia
 
pureView Zeiss,

Wala usijali Mkuu huna haja ya kumfanyia hivyo, ila nina uhakika Maisha ambayo anaenda Kuyaanza sasa asiyoyazoea Mwenyewe atajinyonga tu.
Usifanye haraka kufikia hitimisho Mkuu, yajayo ya Mkuu wa Kaya hatuyajui. Huyu jamaa ana siri nyingi sana za mambo yaliyofanyika hapa Dar na hata Dodoma kuachwa hivihivi bila kumfadhiri. Anaweza kuimba kama canary watu wakapata tabu sana! Katika mambo haya kuna choice mbili, eidha kumpotezea au kumfadhiri na kumhifadhi sehemu nyingine. Hatujaona mwisho wa Makonda bado, bado sana!
 
Back
Top Bottom