GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ulichotakiwa Kufanya ni Kukabidhi tu Ofisi ya Watu kisha ukae usubirie tu Huruma ya Roho Mtakatifu au 'Ushirikina' wako ili 'Nyota' yako iendelee Kung'aa 'Uteuliwe' tena lakini siyo kuanza 'Kujimwambafai' kwa mambo ya 'Kipumbavu' ambayo Watangulizi wako walishafanya Makubwa zaidi yako na wala hawakutaka Sifa za 'Kipuuzi' hizi kama zako.
Kuhusu Kutuita Sisi 'tunaokukosoa' na 'tusiokupenda' tena wakiongozwa na Mimi mwana CCM na mwana Simba SC Mwenzako kuwa ni ' Mbwa Mwitu ' tunaopenda ' Kubwekabweka ' hovyo wala hujakosea. Ni huku huku 'Kubwekabweka' Kwetu ndiyo kumekufanya hata juhudi zako za ' Kutia Nia 'Jimbo la Kigamboni' zifeli ' jambo ulihonga mno Pesa zako za Dhuluma.
Na ulivyo na Matatizo makubwa ya Akili 'Kichwani' umepewa nafasi fupi tu ya Kushukuru na Kumwacha 'Mteuliwaji' mpya aanze 'Majukumu' yake ya Kutuhudumia wana 'Mzizima' Wewe unaanza Kutoa Kauli zako za Kutia 'Huruma' na kama vile unamwambia Rais JPM kuwa 'Akuteue' tena wakati tunajua 'alikuonya' kuwa usiende Kigamboni na Wewe ukamuanisha kuwa Utashinda tu.
'Mbwa Mwitu' Mwandamizi Mimi GENTAMYCINE namalizia hapa kwa Kukuambia ya kwamba Kila lenye Mwanzo huwa lina Mwisho na kama ulidhani labda pamoja na ' Ushirikina ' wako pamoja na Kuwatumia Viongozi wa Dini wakubwa wa Kikristo na Kiislamu hadi kuwapa Vijana wa Mtandaoni Pesa ili JPM akukumbuke tena basi umechelewa na sasa pambana tu na Hali yako. Huna tena chako ndani ya Moyo wa na Roho ya JPM wala katika Seriakali yake na wala ndani ya CCM.
Umeshakwisha Kimoja