#COVID19 Sayansi inazidi kutokomeza Corona

#COVID19 Sayansi inazidi kutokomeza Corona

Coronavirus outbreak: Isolating the elderly key to defeat Covid-19, says Israel defense minister
 
Hao milioni 1, wapewe tiba ili kusiwepo na wa kufa. Si lazima kuwafungia bali wapewe mwongozo ili wasiwaambukize wengine. Kama ni lazima wafungiwe siku 8 tu watakuwa wamepona (kama wakipewa tiba).
hakuna tiba ya corona, chanjo zote zinaanza kufanya kazi walau wiki ya pili baada ya kuingia mwilini,
How Long It Takes For The Coronavirus Vaccine To Work ...
12/15/2020 · The whole process typically takes about 28 days and is complete soon after you get the second shot, according to Ogbuagu, who is involved with a Pfizer …
 
Hivi kwetu kwenye ramli na maombi tuna MBA zozote zilizopo para kuwekwa hadharani?
 
Sasa kwanini Corona mnataka zitoke kila siku
"mnataka" kwanza nitoe kwenye hilo kundi lako.
coz sifungamani na upande wowote.
pili tofauti na magonjwa mengine corona ni fast growing desease.. too fast kuliki magonjwa mengine.
inahitaji daily data follow up kujua ueleke wake, viral culture & behaviour.
hii itatoa picha tuukabili vipi
 
Zamani watu ulaya waliamini sana utatuzi wa matatizo kwa kumuachia Mungu. Hilo lilifanya kanisa licontrol kila kitu, hasa elimu. Kutumia maiti za wanadamu kujifunza ilikatazwa na kanisa. Sayansi ilikuwa lazima iandane na kanisa.

Baada ya kutokea mlipuko wa homa ya mapafu karne ya 14. Watu walishangaa hata hao wanaohubiri kanisani wanakufa vibaya na hawana msaada wowote. Hapo ndipo watu wakaigeukia sayansi na uchunguzi wa magonjwa na mambo mengine ukashika kasi. Pengine na sisi tutajifunza kutokana na
Wakati wote Kanisa halijawahi kuiacha sayansi. Labda kama unasema juu ya madhehebu.

Bila Kanisa hakuna sayansi. Huwezi kusema sayansi kama hujui Kanisa.
 
Sasa kama ugonjwa umegeuka imekuwa sio WA mlipuko.
Tutatoa hizo takwimu mpaka lini?.
Bora kipindu pindu kinakuja na kupotea ILA sio Corona
"mnataka" kwanza nitoe kwenye hilo kundi lako.
coz sifungamani na upande wowote.
pili tofauti na magonjwa mengine corona ni fast growing desease.. too fast kuliki magonjwa mengine.
inahitaji daily data follow up kujua ueleke wake, viral culture & behaviour.
hii itatoa picha tuukabili vipi
 
Wakati wote Kanisa halijawahi kuiacha sayansi. Labda kama unasema juu ya madhehebu.

Bila Kanisa hakuna sayansi. Huwezi kusema sayansi kama hujui Kanisa.
Hapa nazungumzia hasa kanisa la roma lililokuwa linawasakama wakina Galileo.
 
Sasa kama ugonjwa umegeuka imekuwa sio WA mlipuko.
Tutatoa hizo takwimu mpaka lini?.
Bora kipindu pindu kinakuja na kupotea ILA sio Corona
corona si ugonjwa wa mlipuko? sorry man hata kama hukusoma biology form 4 ficha madhaif yako.
corona bado ni pandemic and still on going.

kutoa talwim si ujinga.. si upumbav si dhambi. ni ktk kufaham direction ya gonjwa lenyewe.
 
Hapa nazungumzia hasa kanisa la roma lililokuwa linawasakama wakina Galileo.
Bilashaka unafahamu nini Kanisa Katoliki lilifanya kwa Galileo - in 90's.

Kama ni mtu makini utafahamu Kanisa Katoliki ni nini hapa ulimwenguni juu ya tukio la Galileo.
 
Bilashaka unafahamu nini Kanisa Katoliki lilifanya kwa Galileo - in 90's.

Kama ni mtu makini utafahamu Kanisa Katoliki ni nini hapa ulimwenguni juu ya tukio la Galileo.
Kanisa katoliki lilimfunga Galileo kwa kusema kuwa dunia inazunguka jua. Unataka ushahidi gani mwingine kuwa kanisa, hasa katoliki liliingilia na kupingana na sayansi?
 
Tz kuna ignorance wengi cha kuustaabisha hata professional wa matibabu wamekuwa foolish
wakifata matakwa ya professional zao watakufa njaa, mtoto wa dada atawaondoa kwenye kifurushi cha mwezi.Kumbuka waajiriwa wengi ni wafungwa huru hawawezi ishi nje ya kifurushi cha mwezi,thus wengi ufa mapema pindi kifurushi kikikoma.
 
We unaonekana hujui kuhusu virusi kabisa. Hivi Mungu anaweza kuwa na majibu yanayoexpire kweli yani kipindi kile atusaidie leo atuache duu. Ukifuata sayansi utajua kwann sahiv tumepigwa kuliko mara ya kwanza achana na imani Mfu.
Huyo Mungu ni wa watz pekee.
 
Tz hakuna madaktari wa tiba wala wanasayansi,tunao wafungia vidonda na wapima kinyesi ndiyo wanajiita madaktari.Laiti kama tungekuwa na wataalamu wa tiba kweli tungeshapatiwa maelekezo mengi ya kitaalamu bila uoga kutoka kwa wanasiasa.
Shida ni mfumo wa malipo kushikiliwa na mtu mmoja ni lzm ufate maelekezo,thus mwanasiasa ndie mwenye nguvu.
 
Pandemic ipi isiyoisha.
Kwani ebola na kipindu pindu uchukua miezi mingapi?
corona si ugonjwa wa mlipuko? sorry man hata kama hukusoma biology form 4 ficha madhaif yako.
corona bado ni pandemic and still on going.

kutoa talwim si ujinga.. si upumbav si dhambi. ni ktk kufaham direction ya gonjwa lenyewe.
 
Unaangalia gharama unaangalia maisha? Maisha yana bei gani rahisi unayoijua wewe? Mmeona elimu ni ghari sasa mnajaribu ujinga eti!
U have to balance wewe Leo hii uugue ugonjwa wa moyo ambayo cost yake ya matibabu inafika 15m utauza nyumba ya familia au utatafuta tiba mbadala ili kusogeza siku
 
Mimi ninafanya kazi ya kupita vituo vya afya huko,wilaya kwa wilaya mkoa kwa mkoa

nipo mitaani pia kila siku..hakuna ujinga wako utakao nidanganya mimi hata kidogo.

punguzeni upuuzi wenu
walala hoi wanakufa wengi wapi?

kweni sisi tunaishi nchi nyingine kiasi tusione majirani au ndugu ktk kila siku au baada ya siku mbili kua wanakufa? wanakufa kwenu tu mlio lipwa pesa za kuhadaa watu?au ninyi mnaojaza ujinga watu kwa sababu zenu za kisiasa na ukanda?

wajinga wakubwa nyie
We kweli muongo. Kazi gani hiyo? Vituo vya afya viko chini ya TAMISEMI hivyo kila wilaya inajitosheleza ndani ya wilaya husika

Unatudanganya kabisa. Kila wilaya ina watumishi wake wanaojitosheleza kwa 100%
 
Back
Top Bottom