Nick girland
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 291
- 200
Unaambiwa uthibitishe kivipi quran ni kitabu kisicho na shaka unathibitisha kwa kutoa aya kwenye kitabu hicho hicho unachotakiwa kuthibitisha?.Ndicho kitabu kisichokuwa na SHAKA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa uthibitishe kivipi quran ni kitabu kisicho na shaka unathibitisha kwa kutoa aya kwenye kitabu hicho hicho unachotakiwa kuthibitisha?.Ndicho kitabu kisichokuwa na SHAKA
Unaambiwa uthibitishe kivipi quran ni kitabu kisicho na shaka unathibitisha kwa kutoa aya kwenye kitabu hicho hicho unachotakiwa kuthibitisha?.
Kwani uthibitisho ili uwe uthibitisho unahitaji ukidhi vigezo gani ?Unaambiwa uthibitishe kivipi quran ni kitabu kisicho na shaka unathibitisha kwa kutoa aya kwenye kitabu hicho hicho unachotakiwa kuthibitisha?.
Haipo Injili ya Issa.Allah ndiyo....injili ya issa iko wapi nikaisome?
Ukiona hivyo ujue hilo linafaa,lingekuwa haramu mtume angelikataza sababu ameshatabiri uwepo wa mambo mengi ambayo tunaya diriki sasa hivi.Quran ishapitwa na wakati sheikh usikaze kichwa...wenzako sasaivi Saudia wanachinjia wanyama mashine huku kuna Redio speakers kama zile za machinga stendi inajirudiarudia Bismillah Allahu akbar.
Sasa hapa kupitwa na wakati kunaingia vipi wakati nguzo za uchinjaji zimeshaelezwa hayo mengine yanaingia katika zile nguzo. Kwanza unajua nguzo za kuchinja ni zipi ?eria za kuchinja hawakujua ipo siku kutakuwa na machinjio makubwa na haitawezekana kuchinja kwa mkono demand yote hiyo...
Wapi mtume amesema picha ni haramu ? Uwe unasoma ibara kwa umakini. Ukinionyesha wapi mtume amesema picha ni haramu naacha kutumia hii ID.Kipindi Muhammad anasema picha ni Haram hakujua ipo siku itakuwa ni mojawapo ya njia kubwa za mawasiliano.
Kwahiyo uelekeo wa juu pia unaangalia Kaaba ?Kipindi Muhamad anaweka kaaba iwe direction ya kuswali hakujua dunia duara kwahiyo direction yoyote ile inaangalia kaaba mifano ni mingi mno.
We utakuwa ni shoga bilashakaSi kweli, usifuate maneno ya Qur'an, utapotoka. Kiungo cha kwanza kuumbwa kwa binadamu yeyote yule ni mkundu tu kisha vinakuja vingine.
Haya jibu sasa hizo hoja za uko juu unazokimbia..au umeshindwa kumtetea Muhammad na mtume wake aitwaye Allah?
Kuna haja ya kusoma sana kujua mamboJe wajua kuwa Sikio ndio kiungo cha kwanza kuumbwa kwa mwanadamu?
وَهُوَ الَّذِي أَنشَأَ لَكُمُ السَّمْعَ وَالْأَبْصَارَ وَالْأَفْئِدَةَ ۚ قَلِيلًا مَّا تَشْكُرُونَ
[ AL - MUUMINUN - 78 ]
Na Yeye ndiye aliye kuumbieni kusikia na kuona na nyoyo za kufahamu. Ni kuchache mno kushukuru kwenu.
Hapo utaona cha kwanza kutajwa ni kusikia na cha pili ni macho ,cha kwanza kutwajwa ndio cha kwanza kuumbwa ,na aya zote katika Qur'an kumeanza kutajwa kusikia kisha kuona .
Masikio yanaumbwa siku ya 21 baada ya ramani nzima kukamilika .
Kila binaadamu anakitu kinachoitwa kitaalam Coccyx ,hizi Coccyx kama picha chini zinavyoonyesha zinakaa katika pingili za uti wa mgongo juu upande wa shingo hizi ndio zinahesabu matukio yote ya mwanadamu kwa maisha yake yote.
وَكُلَّ إِنسَانٍ أَلْزَمْنَاهُ طَائِرَهُ فِي عُنُقِهِ ۖ وَنُخْرِجُ لَهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ كِتَابًا يَلْقَاهُ مَنشُورًا
[ AN NAH'L - 13 ]
Na kila mtu tumemfungia a'mali yake shingoni mwake. Na Siku ya Kiyama tutamtolea kitabu atakacho kikuta kiwazi kimekunjuliwa.
Coccyx ni kama black box kwenye ndege.
Na Coccyx huumbwa ndani ya wiki ya tano tokea kutungwa kwa mimba.
Coccyx baada ya hapo zinakwenda kuscan kwenye ramani ya umbo la mtu huyu ambayo ramani hii huwa tayari ipo sasa Coccyx inascan kuanza na masikio kisha macho hivi ndio vitu vya mwanzo kabisa kuumbwa na cha mwisho kabisa huwa ni mapafu sayansi imesema hivyo..
Coccyx zinaenda kutengeneza viungo vyake (cell organics )na ndio inaanza na Masikio kisha macho na kuendelea na ndio maana mtoto anapozaliwa anaanza kusikia kabla ya kuona na kusikia anaanza toka akiwa tumboni hivyo ukiona mtu anasemesha mimba usimshangae ,hata mama zetu wanapoenda Hospital siku hizi wanaambiwa hatua za ukuaji mtoto tumboni kwamba sasa mwanao anasikia unaweza kuongea nae.
Je wajua kuwa Sikio ndio kiungo cha kwanza kuumbwa kwa mwanadamu?
وَهُوَ الَّذِي أَنشَأَ لَكُمُ السَّمْعَ وَالْأَبْصَارَ وَالْأَفْئِدَةَ ۚ قَلِيلًا مَّا تَشْكُرُونَ
[ AL - MUUMINUN - 78 ]
Na Yeye ndiye aliye kuumbieni kusikia na kuona na nyoyo za kufahamu. Ni kuchache mno kushukuru kwenu.
Hapo utaona cha kwanza kutajwa ni kusikia na cha pili ni macho ,cha kwanza kutwajwa ndio cha kwanza kuumbwa ,na aya zote katika Qur'an kumeanza kutajwa kusikia kisha kuona .
Masikio yanaumbwa siku ya 21 baada ya ramani nzima kukamilika .
Kila binaadamu anakitu kinachoitwa kitaalam Coccyx ,hizi Coccyx kama picha chini zinavyoonyesha zinakaa katika pingili za uti wa mgongo juu upande wa shingo hizi ndio zinahesabu matukio yote ya mwanadamu kwa maisha yake yote.
وَكُلَّ إِنسَانٍ أَلْزَمْنَاهُ طَائِرَهُ فِي عُنُقِهِ ۖ وَنُخْرِجُ لَهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ كِتَابًا يَلْقَاهُ مَنشُورًا
[ AN NAH'L - 13 ]
Na kila mtu tumemfungia a'mali yake shingoni mwake. Na Siku ya Kiyama tutamtolea kitabu atakacho kikuta kiwazi kimekunjuliwa.
Coccyx ni kama black box kwenye ndege.
Na Coccyx huumbwa ndani ya wiki ya tano tokea kutungwa kwa mimba.
Coccyx baada ya hapo zinakwenda kuscan kwenye ramani ya umbo la mtu huyu ambayo ramani hii huwa tayari ipo sasa Coccyx inascan kuanza na masikio kisha macho hivi ndio vitu vya mwanzo kabisa kuumbwa na cha mwisho kabisa huwa ni mapafu sayansi imesema hivyo..
Coccyx zinaenda kutengeneza viungo vyake (cell organics )na ndio inaanza na Masikio kisha macho na kuendelea na ndio maana mtoto anapozaliwa anaanza kusikia kabla ya kuona na kusikia anaanza toka akiwa tumboni hivyo ukiona mtu anasemesha mimba usimshangae ,hata mama zetu wanapoenda Hospital siku hizi wanaambiwa hatua za ukuaji mtoto tumboni kwamba sasa mwanao anasikia unaweza kuongea na
Hii aya ya 20:8 Ni nani anae ongea hapo , Allah au Mohammad?Qur 45:3-4
3: "Bila ya shaka katika mbingu na ardhi ziko alama kubwa(za kuonyesha kuwa yuko Mwenyezi Mungu) kwa ajili ya wanao amini.
4: " Na katika umbile lenu,na katika viumbe alivyovitawanya zimo alama (vile vile) kwa watu wenye akiliView attachment 1779273
Shoga kwani mi ni Muislam?We utakuwa ni shoga bilashaka
Endelea na uchafu wakoShoga kwani mi ni Muislam?
Asa hapo nini cha ajabu,mbn sayansi ipo deep zaidi!Mkisikia habari za Quran roho zenu huwa zinawakeleketa sana
Aya za sayansi zipo nyingi sana katika Quran ukizitaka zitakuja kama mvua maana aliyeumba ulimwengu ndio huyohuyo aliyeileta Quran
Chukua na hi nakupa kama zawadi
Quran 21:33.
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.
Waliopokea hiyo quran wanakariri sasa we fikiria mtu anayekariri yukoje.Hata mimi sijaelewa mechanism ya sayansi kwenye hiyo aya iko wapi. Nimeamua ku chill tu pengine nimeivagaa aya kwa kuisoma kama gazeti
Acha utumwa tupe tafsiri ya kiswahili au unadhani hatujui kama kuna tafsiri?Hyo ndo quran isiyobadilika.
Na tafsiri zote za Quran zitategemea kilichoandika katika lugha mama ya Quran.View attachment 1673934
Acha utumwa tupe tafsiri ya kiswahili au unadhani hatujui kama kuna tafsiri?