Hivi akili zenu huwa mnaziweka wapi ninyi waislam wafuasi wa mwamedi?
Mbona wagumu sana kuelewa?
Sent from my Infinix X624B using
JamiiForums mobile app
Akili zetu zimewekwa kichwani,tunaamini ya Isa aka Yesu na madhumuni yake ya kuletwa na Mungu hapa Duniani
Tunaamini kuwa Yesu aka Isa ni mjumbe wa Mungu kama wajumbe wengine walioletwa na Mungu kuwaongoza binaadamu..
Yesu aka Isa aka Yasu aka Jesus aka Joshua,aliwambia wafuasi wake kuwa yeye kaletwa kwa kuyaendeleza ya Musa..soma Matayo 5:17
Yesu aliwambia wafuasi wake kuwa yeye kaletwa kwa kuwaokoa wana Wa Israeli tu waliopotea(wenye dhambi)..soma Matayo 15:24
Yesu aliwambia wafuasi wake kuwa atarudi duniani kuja kuwasuta wale wanaopotosha jina lake,soma Matayo 7:21-23
Mkuu waislam akili zetu ziko sawa tunaamini na tunayakubali yale aliyoyahubiri na aliyotenda Yesu ..
Waislam hatuli nguruwe,tunakata govi,hayo yote ni mafunzo ya Yesu,na tunamuombea kila tukimtaja
Marehemu Bob Marley aliwahi kuimba kwenye nyimbo yake inayoitwa Get up Stand up..
"We are sick and tired hearing that almighty God is living man
you can fool some people some time but you can't fool all the people all the time"...
Tafakari,jiulize wewe je akili yako iko sawa!!? Kuamini kuwa Binadamu ni Mungu!?
Mbona mgumu sana kuelewa??!!