Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
hata mtu ambaye hajasoma anaweza kutumia akili yake na kujua mimba inatokana na shahawa za mwanamme kumwingilia mwanamke na kukaa sehem na kuanza kudevelop mpaka kuwa mtoto...huo sio muujiza...Muujiza upo kwenye details.Haya maandiko kama tuyasoma kwa mazingatio utakuta yanaelezea utungaji wa mimba huko tumboni.
wanasayansi kibao tu kabla ya muhammad waliongelea stage za utungaji wa mimba.Sasa niambie kwa kipindi hicho cha muhammad (s.a.w) kuna mwanasayansi gani alikaa na kutoa maelezo juu ya utungaji wa mimba jee hiyo sio sayansi?
mfano hata kwenye Talmud ya wayahudi kuna story za embryology kutoka kwa physicians kama Samwel ah-yehudi( almost miaka 500 kabla ya muhamad)...yeye alielezea hivi
embryo(ambayo aliita peri- habbeten) ina stage sita....it develops as
1.golem (formless, rolled-up thing);
2.shefir meruqqam (embroidered foetus 3. shefir means amniotic sac);'
4.ubbar (something carried);
5.v'alad (child);v'alad shel qayama (noble or viable child) and
6.ben she-kallu chadashav (child whose months have been completed).
lakini stage za kwenye quran zinafanana na maelezo ya mwanafilosofia Galen(alikufa miaka 400 kabla muhamad kuzaliwa)
ambaye alieleza stage hizi.
1.sperm
2.blood(clot)
3.flesh and bones
4.baby
Muhamad probability kubwa ni kuwa alikopi hapo kwasabab aliinteract na wagiriki kupitia biashara lakini kinachochekesha hata hzo stage zimekosewa....(again details ndo kila kitu kwasabab kila mtu anajua ukinywa sumu unakufa..lakini maelezo ya jinsi utakufa ndo yanahitaji elimu.)
em tuzipitie
hakuna maajab yoyote hapaNa kwa hakika tumemuumba binaadamu kwa asili ya udongo - Quran 23: 12
Kisha tukamjaalia awe mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti
Uongo wa kwanza..kwasabab katika stage zote za embryology hakuna sehem embryo inakuwa damu iliyoganda...Hapa Galen alidanganya ikapelekea muhammad kuiga uongo na kuupachika kwenye quran.Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda,
uongo mwingine kwasababu haianzi nyama kisha mifupa...it is a fact kuwa vinakuwa formed kwa pamoja(simultaneously) sio kwa step kama muhamad anavyotujulishana tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa
lakini hongera kwa kuleta aya ambayo inaongelea sayansi bila kupinda pindisha maana ya maneno...sio unaleta aya muhamad anaelezea kuuana halafu unapachika maana zako za sayansi