Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

Ninyi wafuasi wa mwamedi mna uelewa mdogo sana

Unaulizwa suala hili unaleta jambo ambalo halihusiani

Ndio maana hata management hamjui, hata shule zenu zimejaa ZERO kama vichwa vyenu

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Hapa Tanzania,waislam waliosoma ni kutoka Zanzibar,..

Kama sio Kigoma Malima kuleta mfumo wa namba basi Waislam kutoka Tanganyika asingelipasi hata mmoja..

Mfumo wa kikatoliki umejaa chuki kwa Waislamu..

Bila Waislamu mpaka leo tungelikuwa tunatawaliwa...

Mzungu kakuleteeni dini yake,akaweka picha yake halafu akakwambieni,huyu ndie Mungu..
 
Soma tena uelewe...kuna mifano mi3 hapo nimesema..miwili ya Quran mmoja wa hadith.
(And btw hiyo Hadith inasema Allah ndo alisema....kwahyo kuna baadhi ya maneno ya Allah hayapo kwenye Quran au ndo zile aya zilizopotea?)
Sasa unaniuliza mimi tena ? Wewe si ndiyo umedai hayo, kwahiyo yathibitishe, naona unajiongezea mzigo mwingine. Maliza hili,sijaona mfano wa aya ulio uweka zaidi ya ile hadithi ukailinganisha na kisicholinganishika, sasa nasubiri hizo aya ambazo alizisikia mtaani kisha akatuwekea.

Pili, kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
 
[emoji38][emoji38]Nacheka sana....uko slow sana kuelewa..Rudi juu kuna mifano tushaiongelea huu uzi..na nilikutajia kwenye hio post..kama hadi picha huoni basi sio kosa langu

Swali gani sijakujibu?
 
[emoji38][emoji38]Nacheka sana....uko slow sana kuelewa..Rudi juu kuna mifano tushaiongelea huu uzi..na nilikutajia kwenye hio post..kama hadi picha huoni basi sio kosa langu

Swali gani sijakujibu?
Kwanza hapa hakuna uhusianowa kutokuweka jibu la swali langu na kuelewa kwangu, ungekuwa umeweka jibu la swali langu ningeelewa sababu haya mambo mepesi sana.

Mimi hiyo mifano sijaiona, kama umeiweka iweke tena hapa, usipoteze muda.

Swali ambalo hujajibu ndiyo hilo la ushahidi wa kuonyesha kwamba kila kitu alichokuwa anasikia mtume mtaani anakiweka kwenye Qur'aan ? Sasa unashibdwa nini kuweka hizo aya za mtaani ?
 
uhusiano upo maana naweka jibu halafu
huelewi kama nimejibu..si napoteza mda wangu
sasa mimi sifanyagi kazi ya kanisa ya kurudiarudia kwa hilo nakupa pole...
angalia pale ulipouliza kama sikukujibu ryt away.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka sana. Hili nilijua wazi kwamba nalo huliwezi.

Sisi tunaandika elimu wewe unaandika unachojisikia.

Kazi yangu nimemaliza.
 
Hii nimeipenda aisee, kuna mdada alikuwa na mimba pale ofisini kwetu, akawa anaisema vibaya kila mara, alipojifungua mtoto akaendeleza kumsema vibaya. Mtoto alizira kunyonya, alitembea kwenye vikundi vya Maombi wapi,

Tulimshauri amuombe msamaha mtoto na asirudie tena.
 
Sasa ikawaje hizo theory zote zigunduliwe na 'wazungu' na sio waarabu walioteremshiwa Quran? Mf big bang theory imeasisiwa na George Lemaitre na sio Muhamad au Hussein au Saadam au malik.

pili kwanini jamii za waarabu hadi leo ziko nyuma sana kisayansi? Mf hata eneo alilozikwa Muhamad (p.b.u.h) ni wazungu ndio walioendeleza hilo taifa.
 
Akili zetu zimewekwa kichwani,tunaamini ya Isa aka Yesu na madhumuni yake ya kuletwa na Mungu hapa Duniani

Tunaamini kuwa Yesu aka Isa ni mjumbe wa Mungu kama wajumbe wengine walioletwa na Mungu kuwaongoza binaadamu..

Yesu aka Isa aka Yasu aka Jesus aka Joshua,aliwambia wafuasi wake kuwa yeye kaletwa kwa kuyaendeleza ya Musa..soma Matayo 5:17

Yesu aliwambia wafuasi wake kuwa yeye kaletwa kwa kuwaokoa wana Wa Israeli tu waliopotea(wenye dhambi)..soma Matayo 15:24

Yesu aliwambia wafuasi wake kuwa atarudi duniani kuja kuwasuta wale wanaopotosha jina lake,soma Matayo 7:21-23

Mkuu waislam akili zetu ziko sawa tunaamini na tunayakubali yale aliyoyahubiri na aliyotenda Yesu ..

Waislam hatuli nguruwe,tunakata govi,hayo yote ni mafunzo ya Yesu,na tunamuombea kila tukimtaja

Marehemu Bob Marley aliwahi kuimba kwenye nyimbo yake inayoitwa Get up Stand up..

"We are sick and tired hearing that almighty God is living man

you can fool some people some time but you can't fool all the people all the time"...

Tafakari,jiulize wewe je akili yako iko sawa!!? Kuamini kuwa Binadamu ni Mungu!?

Mbona mgumu sana kuelewa??!!
Azarel uko wapi,mwanangu,Je umesoma hiyo mistari ya Biblia niliyokuwekea hapo juu???
 
Hii sentensi inasimulia kipindi Cha Hitler[emoji116][emoji116]
"Hitler alikuwa dikteta,,aliua wayahudi wengi na alitaka ujerumani itawale dunia na pia aliingia vita na Uingereza,Urusi na Viunga vyake.Alisababisha vita vya pili vya dunia."

[emoji115]Hiyo sentesi inasimulia kipindi Cha hitler..Je imeandikwa kipindi cha hitler?
We jamaa kichwa sana
 
Mkisikia habari za Quran roho zenu huwa zinawakeleketa sana

Aya za sayansi zipo nyingi sana katika Quran ukizitaka zitakuja kama mvua maana aliyeumba ulimwengu ndio huyohuyo aliyeileta Quran

Chukua na hi nakupa kama zawadi

Quran 21:33.
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.
Duuuh!! Kwahiyo hiyo nayo ni scientific fact?
 
Back
Top Bottom