Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Allah ndiyo....injili ya issa iko wapi nikaisome?Allaa kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allah ndiyo....injili ya issa iko wapi nikaisome?Allaa kumbe
Allah ndiyo....injili ya issa iko wapi nikaisome?
Allah ndiyo....injili ya issa iko wapi nikaisome?
vipi mkuu...mjadala ushakushinda ushaanza kubadili mada na kuchenga magoli?Kumbe wakristo mlikuwa mnakula IDD.
xmass na pasaka zimetoka wapi?.
Soma Aya ya 5View attachment 1677046
mada ni Saynsi na Quran....tembea na hilo beat
vipi mkuu...mjadala ushakushinda ushaanza kubadili mada na kuchenga magoli?
Sikia mzee hapa hatushindani Ukristo Vs uislam ...Hapa tunajadili mada mezani .
Acha mentality za kishamba jibu hoja ulizoacha huko juu
mada ni Saynsi na Quran....tembea na hilo beat
Haya jibu sasa hizo hoja za uko juu unazokimbia..au umeshindwa kumtetea Muhammad na mtume wake aitwaye Allah?Haya ukipata majibu utaniambia
Someni someni someni...acheni uoga mkishindwa hojahyo pia ni elimu
Narudia, usiamini Qur'an utapotoka kama alivyopotosha Mohammed na Shetani....shauri yako usije sema sijakuonya.
Injili,gospel ni mahubiri aliyowahubiria watu wake ..Allah ndiyo....injili ya issa iko wapi nikaisome?
kwahyo kitabu cha injili hakijawahi kuwepo sioInjili,gospel ni mahubiri aliyowahubiria watu wake ..
Mkusanyiko wa mahubiri hayo hayakuhifadhiwa,sio kwamba ilikuwa bahati mbaya,bali Mungu alifanya hivyo makusudi
Mungu alijua atakuja mtu mwengine kuendeleza alichoacha Yesy
Isa aka Yesu aka krist alihubiri kwa kunukuu kitabu cha Musa,taurati,mahubiri yalikuwa hayajakamilika..
Yesu aka Isa aliteremshwa kwa wana wa Israel tu,sio kwa binaadamu wote,mahuburi yake yaliwahusu sana wana wa Israel ..
Isa alitabiri kuwa atakuja mtu mwengine kuendeleza kazi yake,ambae ni Muhammad
Kitabu cha injili hakikuhifadhiwa,hakuna kitabu chenye mahubiri ya Isa aka Yesu aka Christ aka Yoshua aka Yasu aka Jesus
kwahyo kitabu cha injili hakijawahi kuwepo sio
Huo uharibifu ulifanywa lini?kabla au baada ya muhammad?Sio kwamba hakikuwepo, kilikuwepo isipokuwa wana wa Israel kwa uharibifu wao walifanya mipango ya kubadilisha maandiko sababu hawakupenda ya mungu
Injili.haikuhifadhiwa,mahubiri ya Yesu yalikuwepo,Lakini hayakuhifdhiwa..kwahyo kitabu cha injili hakijawahi kuwepo sio
Tuchambulie basi hio aya mbona uburura juu juuusidanganyike..Hizo ni propaganda za waislam wanaobadilisha tafsir za Quran iendane na sayansi
hiyo Sura yasin inasema Jua linatembea na linaenda sehemu fulani husika.(fuatilia kiarab chake)
Sasa wewe unaongelea jua kujongea wakati kipindi hiko watu waliamini Jua linatembea linazunguka Dunia.
Kwahyo jua likizama watu walijua limeenda sehem kujificha.
Maelezo ya muhamad/Allah alimaanisha nini hiyo aya yapo sahih bukhari 4:421
The Prophet asked me at sunset, "Do you know where the sun goes (at the time of sunset)?" I replied, "Allah and His Apostle know better." He said, "It goes (i.e. travels) till it prostrates Itself underneath the Throne and takes the permission to rise again, and it is permitted and then (a time will come when) it will be about to prostrate itself but its prostration will not be accepted, and it will ask permission to go on its course but it will not be permitted, but it will be ordered to return whence it has come and so it will rise in the west. And that is the interpretation of the Statement of Allah: "And the sun Runs its fixed course For a term (decreed). that is The Decree of (Allah) The Exalted in Might, The All-Knowing." (36.38)
Habari za kisaayansi kwenye ni nyingi sana haiwezekani ikawikaw yote imetokea kwa bahati nasibu , yani iwe imeandikwa kwa kukisiwaunajua hata ukiita mtu asiyejua kusoma na kuandika au kichaa au mtoto mdogo ukampa kalamu na karatasi ukamwambia aandike hilo karatasi mpaka lijae na wino....Yeye atachoronga choronga tu lakini baada ya hiyo michorongo ukiamua kutafuta herufi zilizojitokeza hutakosa..Lazima michorongo mingine itafanana na C,g,p,d,b,l,e nk. nk.
Ukilazimisha zaidi unaweza kupata hata maneno yaliyojitengeneza.
Kutafuta Miujiza kwenye quran ni sawa na kutafuta hizo herufi
kutafuta fact za kihistoria kwenye Quran ni sawa na kutafuta maneno kwenye michorongo
Kutafuta Sayansi kwenye Quran ndiyo kabisaa ni sawa na kutafuta sentesi zenye maana kwenye hiyo michorongo.
Huo uharibifu ulifanywa lini?kabla au baada ya muhammad?